Apartment ina vyumba viwili, sebule na jiko. Chumba kimoja ni master.
Iko kwenye compound ya nyumba 3. Kuna geti na parking. Barabara inapitika.
Umeme unajitegemea.
Kuna matank ya kutunza...
Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma...
Karibu ujipatie pikipiki imara na Bora kwa shilingi 2100000,zinapatikana dar es salaam Tanzania eneo la tabata,kwa maelezo zaidi piga simu namba 0672087564/0693785860
Natumai wote wazima.
Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd.
Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine...
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Kila Hatua, Tumeongeza Huduma Kwa Wateja zetu.
TUNAPOKEA KAZI ZOTE ZA BIMA[emoji1545]
#Karibu tukuhudumie
Ommy Autoworks
Automative,Aircraft &Boat
Deals in...
Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 40 zenye miti zaidi ya elfu thelathini linauzwa Geita eneo limepimwa na limekatwa viwanja na maeneo mbalimbali huu mradi unaweza kuamua kuuzamiti yote ukaachaeneo...
Elimutube ni jukwaa ambalo utapata fursa ya kusoma kupitia notes na videos kutoka kwa walimu mahiri, wanaoaminika, na wenye uzoefu mkubwa Tanzania kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita...
Nahitaji freezer ndogo iliyo katika hali nzuri (yenye uwezo wa kugandisha) iliotumika ama mpya mradi bei iwe nafuu, nitajie bei na mawasiliano. Nipo Dodoma.
Make: Eicher
Mode: truck
Model number: MC2B6
Year of manufacture: 2017
Engine Capacity: 3298
Fuel used: Diesel
Seating capacity: 3
Mileage: 15868
Price 32 Millions
Gari ipo kwenye hali nzuri...
Bembea ya chuma kwa ajili ya mtoto mdogo inauzwa kwa bei nafuu sana sh 90,000 tu offer
Kiti cha chuma kwa ajili ya mtoto mdogo kinauzwa kwa bei nafuu sana sh 50,000 tu, vyote vimetumika kidogo...
Habari,
Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana.
Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.