Shamba na miti na Mgodi linauzwa Geita

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Shamba lenye ukubwa wa ekari 40 zenye miti zaidi ya elfu thelathini linauzwa Geita eneo limepimwa na limekatwa viwanja na maeneo mbalimbali huu mradi unaweza kuamua kuuzamiti yote ukaachaeneo ukauzaviwanja ambavyo Tayari vimepimwa au ukaomba kibali ukachimba dhahabu maana wapo watu wanachimba maeneo ya jirani au ukaendelea na miti ukachana mbao na kuuza kuni Pesa itarudi fasta mwenye mradi alishindwa kuendeleza maana alipata ajali so anauza wote Kama ulivyo Kila kitu kwa milion Mia mbili tu.

Kwa mwenye kuhitaji tafadhali wasiliana nami WhatsApp 0763772636

IMG_20200409_123758_532.jpeg
IMG-20200409-WA0019.jpeg
IMG-20200409-WA0016.jpeg
IMG-20200409-WA0011.jpeg
IMG-20200409-WA0010.jpeg
IMG-20200409-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bei andika kwa tarakimu. Tuenende kwa kuukomboa wakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom