Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari. Nahitaji mtu mwenye tecno camon 12 tubadilishane na spark 4 yangu. Simu yangu bado ipo vuzuri mwonekano wa mpya haijatumika sana haina crack wala shida yoyote nimeamua tu kubadilisha...
0 Reactions
8 Replies
771 Views
Monitor inch19 Hdd 2terabyte Processor 2.8ghz Ram 4gb Dvd Rw Keyboard Mouse Location: Arusha Contact: 0782 100 623 Price 450,000/=
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Nipo dar natafuta wateja watakaoweza kununua cementi ya dangote kwa Bei ya jumla.kuanzia mifuko Mia sita yaani gari moja uneletewa popote Tanzania Bei 12960.karibuni sana mfumo wa malipo ni cash...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala DaR
2 Reactions
33 Replies
24K Views
Angalia scenarios zifuatazo 👇: Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Naombeni mwenye Toyota vitz offer yngi million 3.
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Mwenye kujua wapi naweza kupata sandals za kiume pure leather na original kwa Dar wapi? Za mitumba au hata dukani. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba nzuri ya kisasa ipo Dar Gongolamboto Majohe. Ina vyumba 3 vya kulala, sebule pamoja na dinning room, pia nje ina flemu 2 za biashara. Bei mil. 30 punguzo kiasi lipo.
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Kwa wafugaji tu. Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaji ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa. Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kiwanja kilicho karibu na ufukweni hapa Dar kinahitajika,kama kuna mtu yoyote anacho aje pm sasa hivi.Aisee anaekihitaji ana hela nyingi mkononi
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya Badge Quality basi tupo kwa ajili yako! Tsh 7,000/ Piece 1. Tunafanya Free Delivery ndani ya Dar es Salaam mikoani tunatuma kwa bus. Call/WhatsApp +255 658 060 476
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wadau, nauza 3G router za internet AINA YA ROUTER: D-Link DWR-730 SPECIFICATIONS Integrated SIM card slot HSPA+ with up to 21.6 Mbps download Up to 5 hours battery life microsD card for...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji website developer wa gharama nafuu km upo nicheck PM tufanye kazi
1 Reactions
4 Replies
695 Views
habari wana JF, Viwanja viwili vinauzwa vyote kwa pamoja 35M; MAHALI: Tungi Block D , Morogoro.( Mtaa wa pili nyuma ya maonesho ya Nane Nane) UKUBWA; Kiwanja cha kwanza: 2713 SQM Kiwanja cha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam.Nahitaji water bowser nzuri na imara ya kukodi (miezi 6) lita 5,000 hadi 10,000 yenye 4 x 6 au 6 x 6 au diff za kuweza kupanda milima mikali.Eneo la kazi Geita Email;alexmpoke@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Iphone 7plus 128gb used china Bei laki 750,000 Exchange iphone to iphone inawezekana pia Karibuni call 0714086806 or whatsapp pia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
RAM 4GB ddr 3 for desktop mpya kabisa kwa elfu 30 Bei ya offer ipo Moja Wahi mapema 0752999094 Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Wadau ninatafuta msichana wa counter kwenye Lodge ndogo ambayo ina mini bar..Lodge iko Morogoro mjini.Atafanya hapo pamoja na reception kama mwenzake atakua off.Msichana awe anajua kazi hii au...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Anahitajika aliyesomea kilimo na mifugo awe hajawahi kuajiriwa serikalini. Pm please!
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…