NAUZA VIWANJA

NAUZA VIWANJA

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
365
Reaction score
196
habari wana JF,

Viwanja viwili vinauzwa vyote kwa pamoja 35M;
MAHALI: Tungi Block D , Morogoro.( Mtaa wa pili nyuma ya maonesho ya Nane Nane)
UKUBWA;
Kiwanja cha kwanza: 2713 SQM
Kiwanja cha pili: 1429 SQM

NB; Viwanja vyote havidaiwi kodi. Serious buyer, pls contact 0717966752 kwa maongezi ya punguzo kidogo la bei
IMG-20190915-WA0001.jpeg
IMG-20190915-WA0002.jpeg
IMG-20190915-WA0003.jpeg
IMG-20190915-WA0004.jpeg
 
habari wana JF,

Viwanja viwili vinauzwa vyote kwa pamoja 35M;
MAHALI: Tungi Block D , Morogoro.( Mtaa wa pili nyuma ya maonesho ya Nane Nane)
UKUBWA;
Kiwanja cha kwanza: 2713 SQM
Kiwanja cha pili: 1429 SQM

NB; Viwanja vyote havidaiwi kodi. Serious buyer, pls contact 0717966752 kwa maongezi ya punguzo kidogo la beiView attachment 1208190View attachment 1208191View attachment 1208192View attachment 1208193
Kuna barabara ya gari kufika mpaka kiwanjani apo na vyote vimeungana au vipo sehemu tofauti bila kuuungana
 
Kuna barabara ya gari kufika mpaka kiwanjani apo na vyote vimeungana au vipo sehemu tofauti bila kuuungana
panapitika na gari,,Vimeungana na vimepimwa pia vinaangalia bara bara mbili za mtaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom