Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wadau. Nauza Showroom yenye details zifuatazo: Eneo Lilipo : Kibaigwa Mjini linapakana na barabara ya Dodoma karibu na Sheli ya Olympic Eneo linapakana na barabara kubwa ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Bei ya mafuta ya kupikia iko juu na inazidi kupanda Dumu la lita 20 kwasasa ni tshs 70,000. Vipi uko kwenu bei iko vipi?
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi hasa wajasiriamali wadogo na wa kati wanatamani kukuza biashara au uwekezaji wao. Katika tamanio lao hilo wanapata changamoto ya mitaji ijapokuwa tayari wana rasilimali fulani. Kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau naweza pata jiko la umeme la dizaini hii kwa hapa tanzania na bei zake zipoje
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kampuni ndogo inatafuta ofisi ya kupanga. Iwe maeneo mazuri kama vile mikocheni, kinondoni, magomeni, Sinza, Mwenge, n.k. Bajeti mwisho laki 5 kwa mwezi. Huduma muhimu ziwepo. Pm kama unayo.
1 Reactions
1 Replies
726 Views
Kama unarafiki au ndugu ambaye sauti yake inafaa kufanya mambo ya entertainment , Na utangazaji tuwasiliane kazi itakuwa ni YouTube, online channel Maswala ya posho yatafanyika Sent using...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama unahitaji nyumba maeneo hayo ya chumba au nyumba ya kuanzia chumba na sebule au kuanzia vyumba viwili na kuendelea usisite kunitafuta, maeneo ni hayo ya Mwenge, Kinondoni, Sinza, Kijitonyama...
6 Reactions
891 Replies
176K Views
Habari ya wakti huu wakuu, Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN. Asante.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /= Sifa za saa 1: Haipauki. 2: Hairuhusu kuingia kwa maji. 3: Inadumu muda mrefu. 4: Automatic mechanism, kwa maana ya kwamba haitumii betri. 5...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
-ina vyumba 3 kimoja master ,sebule,dinning hall,jiko,stoo na public toilet -Kiwanja kina ukubwa wa 30 kwa 25 (750sqm) -pamepimwa lakini hapana hati - Umeme na maji vyote vipo. -Ukuta...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nina mizigo yangu michache ambayo nahitaji kuisafirisha kutoka DSM kwenda mjini Bujumbura Burundi. Kutokana na mabasi kusitisha huduma kwa sasa za safari kwenda huko nilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kubwa ni west Point. Bei 400k La kati ni LG Bei ni 350k Dogo ni 150k Location Ubungo stendi ya mkoa Karibuni 0743123946
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, inahitajika kontena ya futi 20. Milioni 2 ipo kwenye mfuko wa shati sasa hivi hapa. Nicheki 0743123946.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa uhitajia wa kununua au kukodisha mitambo ya ujenzi kama excavators. Bulldozers. Wheelloder. Graders .roller etc usikute kwasiliana nasi 0710707245
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu ujipatie magodoro kampuni la GSM na offa ya usafiri bure ndani ya Dar tupigie 0763542515 tukuletee bure hadi kwako Tupo kawe Inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu Inchi 6 5*6 unalipata kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ram 4gb HDD 500gb Core i5 Iwe slim Laptop Iwe inahifadhi moto zaidi ya masaa mawili Nalipa 400k
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Habari Wakuu, Naomba mnijuze bei ya Pikipiki aina ya Boxer mpya na ni wapi naweza kupata wanapouza.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom