Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa Mahali: Chanika ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni Huduma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema,ninamiliki komputer aina ya HP .tatizo nililopata ni aina ya komputer yangu ambayo battery lake lipo ndani ya komputa ,yaani kulitoa mpaka ufungue nati...
0 Reactions
7 Replies
999 Views
-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima -Nyumba ina vyumba 3...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari, tunatoa huduma za ku bypass iCloud kwenye iPhone yako. Huduma ni Kama zifuatavyo iCloud activation = Huduma hi ni pale iwapo umesahau email na password za iCloud. Na huwezi kuendelea...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pamba nyumba yako kwa bidhaa bora. Njoo ujipatie pazia zulia carpet za kila aina zipo Call/WhatsApp :0755281094 Pia tunafanya delivery popote ulipo
1 Reactions
1 Replies
780 Views
Hii hapa Corolla Bado iko barabarani inafanya kazi vizuri tu. Document zote za umiliki zipo Gearbox clean Engine safi Ipo pugu Dar es salaam Bei 3,500,000 Tshs only Nitafute 0744033555
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta TV [emoji342] nchi kuanzia 46 kampuni hisence Lg Samsung ikiwa smart itapendeza zaidi offer ipo laki 5 0759117175 number Hiyo.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za leo wanaJF Mimi ni muajiriwa katika taasisi binafsi, nina uhitaji wa mkopo wa dharura wa Tshs 200,000/- (laki mbili) kwa dhamana ya vifaa vidogo nilivyonavyo. Malipo nitayafanya ndani ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
karibuni sana tupo Mbezi tanki bovu kwa komba Namba yetu ya shule ni (0494) Kituo kimesajiliwa na Necta( P.5739) PROGRAM ZITOLEWAZO Qt & Ressiters (Science and arts) Darasa la saba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
NYUMBA INAPNGISHWA Mahali: Goba center Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba vitatu(viwil self contained rooms), jiko, mahali pa kulia chakula na sebule Umbali: Nyumba ipo Mita 500 kutoka barabara ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nauza notes za Microsoft word nimeelezea Kila kitu kwa picha hatua kwa hatua, Ni nzuri kwa watu wote wanaotaka kujifunza na waliojifunza. , Ufafanuzi Commands zote katika Lugha ya Kiswahili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NYUMBA INAPANGISHWA Mahali: Boko kwa mpemba Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba viwili (kimoja ni master bedroom), sebule, jiko ndani na nje, Choo cha jumuiya ndani na nje, stoo na mahali pa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LG TV LED Inch 43 Hdmi port ziko 3 VGA ipo USB ipo AV ipo HD kali sana Ina vioo viwili Bei: 450, 000 Mawasiliano:0744033555 Unakagua ndio unalipia IPO UBUNGO RIVER SIDE DAR
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Habari Jf. Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used. Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae. Kuna san...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za humu nina shida na hizi camera wapi naweza zipata kwa bei za jumla kwa hapa Dar es salaam mwenye nazo ani PM bhac tufanye biashara
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ili kuepuka madhara yawezayo kutokana na umeme kutokana na sababu za kutofanyiwa ukaguzi na marekebisho ni vyema kuweka utaratibu huo Kwa usalama wa mifumo yetu ya umeme. Ambavyo vyanzo vya...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Habari wana HHM heshima kwenu Moja kwa moja kwenye mada mwenye kufahamu upatikanaji wa Mafuta ya kupikia lita 20 Nchi gani naweza kuagiza kwa unafuu zaidi. Nina pension ya kufanya hii bishara...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mtaalamu wa umeme na vifaa vyake(Electrical and Electronics) Nimekua niki-design vifaa mbali mbali vya electronics kama vile kifaa cha kuongeza umeme maeneo yenye umeme mdogo.Wengi wenye...
1 Reactions
14 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…