Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wasalaam! Wakuu, naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata mbegu za viazi lishe kwa mikoa ya kanda ya mashariki (Dar es salaam, Pwani au Morogoro). Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari! Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima. Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
akubwa habari Nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 Ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth dvd...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
wakubwa habari, nauza mashine mtumba kutoka nje hazina shida yoyote ile njoo kariakoo dell lattitude d630 ram 2gb hdd 250 nch 14 wide processor 2.0 ghz charge masaa 2 window 10 wifi bluetooth...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Habari wakuu!! Natafuta chumba single maeneo ya Nkuhungu au Chang'ombe Extension. Bajeti yangu ni 50,000/=
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Kwa yeyote anyeweza kusuply 1600 za amlinium ingot tuwasiliane Kwa number +256788282409. Sio lazima ziwepo hapa Tanzania. Hata ukiwa ukifaham kiwanda kilichopo nje. Karibu
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Habari za leo wakubwa, Ndugu yenu bado naendelea na kazi ile ile ya kudesign ramani mbalimbali. Leo nimekuja na hii design yangu ya kipekee ya nyumba ya vyumba vinne. Unaweza kujionea mwenyewe.
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa. Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Zakutumia umeme sh.2500,000,Zile ambazo hazitumii Umeme zinaanzia sh.270,000 hadi sh.450,000,Nipo Dar es salaam,Kariakoo Mashine ziko tayari unafika unalipia kisha unaondoka na mashine...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Wakuu kwema Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara. Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri. Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
habari za Leo wakubwa, Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
TAFADHALI SOMA MAELEZO NA KUPATA MAWASILIANO YETU ; +2556-84 101 707
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Graphic designer
1 Reactions
6 Replies
861 Views
Habari Wakuu Natafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m, Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light blue, Kama mtu anayeuza atakua ndio...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Niaje.. Wale wanaotaka Xiaomi smartphone ninazo redm 7 Global pic 19. Bei ni 380000 sealed box . New Specifications read here Xiaomi Redmi 7 - Full phone specifications Ukiihitaji ni Pm . Na...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Helo Tanzania kwa wale wakazi wa Banana Ukonga na maeneo ya jirani wanaoitaji container take away zinapatikana kwangu naweza nikakuletea mpaka ulipo nipigie 0763932278 bei mojani mia 50 pakti moja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitwa David nina umri wa miaka 18 nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi yoyote halali ambayo itakua na maslahi nipo Dar kwa mawasiliano zaidi nipate instagram hdboe_255. Ahsante kwa muda wako.
0 Reactions
5 Replies
521 Views
Habari zenu wadau, Sasa, naomba msaada wenu nina mgeni nampokea kesho,anahitaji kufikia hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu hapa dar es salaam..budget yetu inarange kati ya 35 na...
0 Reactions
18 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…