Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,
Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga...
Habari zenu wana Jf, Jamani mwenzenu nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi kutoka mikoa ya kati kuja dar, wenye uzoefu naomba mnisaidie kufahamu soko la Mbuzi yaani bei yake kwa wastani pamoja na...
Karibu upate Kisimbuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu.
Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia
Utafurahia...
Pata magazeti safi kwa matumizi mbalimbali
Tunauza kilogram 15 kwa shillingi 20,000/=
Mkoani tunakutumia usafiri tutachangia kama utachukua kuanzia kilograms 1000
Wasiliana nasi kupitia namba...
[emoji830]Tv ina 20 inch screen, inasupport HDMI, Flash na AV cables (Bei 150K)
[emoji830]Subwoofer ina support Bluetooth, FM radio, Flash, SD card na Aux (Bei 150K)
[emoji830]Meza ni ya kioo...
Mbinu hii ya 'Honey trap' pia hutumika katika kuwatafuta maadui wanaokimbia mkono wa taasisi ya intelijensia. Mfano Mordecai Vanunu (pihani - katikati) ni mmoja kati ya watu waliodakwa kwa mbinu...
Nauza To link router kwa bei karibu na bure
TP Link router 3G/4G wireless N Router
brand New Ipo kwenye box lake
Bei tsh 60000
Location karume Dar es salaam
contact 0757870230
Tunahitaji madalali kwa ajili ya kuuza malori yetu Fuso na Canter aina zote:-Tipper, cargo, malori ya maji Safi, malori ya maji taka, crane, Freezer na mengine. Tuna malori zaidi ya 60 Mwanza na...
Habari za wakati huu wana jamvi,
Nauza zana hizi kwa wenzangu wanaojihusisha na kilimo cha kumwagilia.
Water pump 1 used 1 month.
Koromeo 1 used 1 month (hii ina urefu wa mita 3).
Na mpira wa...
Habari za leo wakuu
Nina shida na till ya M-Pesa kwa haraka.
Documents zote zipo anayeweza kuni connect na mtu wa Vodacom akanifanyia kwa haraka basi ya maji haikosekani.
Asanteni
Sent using...
Canon powershot 540
Ina 20.3 mega pixels
Inatumia wifi
Inapiga picture hd mnoo
Inaweza kuchukua video
kaliInakuja na betry 2
Charge
8gb memory
Bag lake
Nataka 380k
0623953036 whatsapp/calls
Kama mmiliki mdogo wa malori ya biashara, uwezekano mkubwa umejiuliza, "Ni saa tisa jioni. Nashangaa malori yangu yako wapi sasa hivi? ” Ukiwa na ufuatiliaji wa GPS, hauitaji tena maajabu, na...