kiwanja kipo kimara suka/njia ya kuelekea Golan kina nyumba ndani yake ya vyumba 3 na jiko haijaisha ipo kwenye linta na foundition ya kujenga nyumba ya vyumba 6 na frem 2 tayar zimejengwa zipo...
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125 used ,iko dar es salaam kijichi, bado ina hali nzuri sanaa , injini haimjui fundi, documents zote zipo na bima bado ipo . Bei 1,450,000 (mazungumzo...
Unahitaji mashine sasa Najidakia store & General supply tupo Kwa ajili yako
mashine ya juice ya miwa utaipata Kwa million moja na Laki mbili tu inachuja na kuacha juisi yako ikiwa safi kabisa mtu...
Habari JF,Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nauzwa kiwanjaa kikubwa ambacho tayari kimepimwa na kuwekewa mawe
Sifa za kiwanja:
Ukubwa ni 900M² (square meter 900)
Ardhi tambalale yenye...
Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM.
Ukubwa wa eneo: SQM 500
Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa.
Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya...
1. Chumba Sebule Choo ndani bila jiko.
--Maji dawasco, fensi & Umeme Luku.
--Bei Tshs 200,000/Mwezi
-- Piga 0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
wachimbaji visima virefu vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani au shambani pia tunafanya surveying (tafiti kubaini uwepo wa maji ) kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba...
Asalaam alaikum wanajamii forum
Nauza nyumba ambayo namiliki mwenyewe sio dalali 0762987034
Ina vyumba vitatu viwili masters
Ina sebule, dinning, jiko , fensi
Ni nyumba ya pili toka barabara kuu...
Ukubwa wa Kiwanja: 1200 Mita za Mraba.
Kimepimwa: Ndiyo.
Kina Hati: Ndiyo.
Bei: Tshs Milioni 100 ( Maelewano yapo )
Eneo kilipo kiwanja: Salasala Karibu na kwa aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Waitara...
Habari,
Mimi ni mdada nipo maeneo ya Tegeta natoa huduma ya kufanya usafi majumbani, kama unahitaji kufua, kuosha vyombo, kudeki n.k.
Nafanya usafi na kuondoka.
Malipo sio chini ya 10,000.
PM...
Chumba na choo chake, Sebule na jiko.
Ina tiles, gypsum, maji ndani na fensi ipo.
Kodi laki 2 kwa Mwezi, malipo ya miezi 6 yanatakiwa.
Karibu 0742141467
Kuna jamaa (nimsahau) alisema ametengeneza software inayoweza kutumika na kanisa Katoliki kwenye taarifa za waumini kuhusu
1. Jina
2. Jumuiya
3. kanda
4 ULIPAJI zaka na michango mbalimbali
4...
Wakuu kwema?
Naomba kuuliza Kwa wenyeji wa Dodoma Kama Kuna kampuni ya kusafirisha mizigo (pikipiki) kutoka dodoma hadi Mbeya.
Au kwa wazoefu wa dodoma huwa mnasafirishaje mzigo toka Dodoma hadi...
UNGA MPYA MJINI ARUSHA
Tunawakaribisha wauzaji , wasambazaji na wadau wote. Wasiliana na sisi ile kupata fursha hii. Unga wetu ni mzuri, tamu sana na yenye viwango vya TBS.
Bei za Jumla:
25kg ...
Habari za mchana,
Samahani kwa usumbufu. Nilikuwa naomba kama mtu yeyote anayejua kama kuna nyumba ya kupanga ipo naomba anijulishe
Location: Buza
Bei: 150k
Nyumba iwe na vyumba viwili, sebule...