Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

bado bidhaa zetu zinapatikana, na kwasasa chaguo ni lako ukitaka kununua yaliopo ofisini kwetu sawa au ukitaka tukutengenezee hata hapo nyumbani kwako pia sawa, sisi tupo kwaajili ya kukuhudumia...
4 Reactions
190 Replies
108K Views
Wakuu salama hii tipper inauzwa Arusha Town. Namba A Engine 16 Bei: 39m (maelewano yapo) Location: Arusha Phone: 0788340483 Tairi zote mpya NB: Boss mtu wa maelewa sana. Gari haina kipengele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye laini ya Lipa Kwa m-pesa isiyokuwa na makato yoyote zero to zero charges ninashida nayo, so kama unayo tuwasiliane PM.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani blauzi za mtumba hizo za kike grade one tunauza sh 5000 moja au ukichukua 10 na kuendele unachukua kwa bei ya jumla (4500/4000),nguo zote ni quality pitia account yetu ya instagram kuona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥 ⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Angalia unachokitaka then nicheki nikuhudumie kwa Bei ya maelewano. 1. Naprint T SHIRT @15000/= (kudarizi na kawaida) 2. Naprint VITAMBULISHO VYA PVC @3000/= 3. Naprint Business cards 20000/= kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kiwanja kipo maeneo ya ubungo kibangu karibu na kwa novo size ya kiwanja ni nusu heka bei ya kiwanja ni milion 35 kiwanja kina hati moja ivyo unakatiwa nusu heka hlf hati inafuatiliwa ya kwako tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Recently regisered no.DUJ Black mettalic color 2008 model 5-seater passenger 2.4cc engine capacity 2AZ-FE VVTI Engine 4-cylinder 16-valve Automatic Gear Transmission •Low mileage 72,855km All four...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatimae LWANDA MAGELE ameshatoa kitabu chake Cha kwanza alicho simulia story ya maisha yake hapa jf jipatie nakala yako kwa 5000 tu. Angalia uzi wake huu hapa Mikasa ya ajabu nilioushuhudia kwa...
8 Reactions
85 Replies
18K Views
Wadau habari. Ninataka ya kununua combine harvester lakini sijajua life span ya hizi mashine. Mwenye uzoefu aniambie kama ni kwa muda gani hii mashine inaweza kufanya kazi bila kubwa ama naweza...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA SHULE KUTEKETEA KWA MOTO Royal security solutions tumekuja na teknolojia ya kudhibiti kabisa tatizo la mabweni kuteketea kwa moto kila kukicha .. Janga hili limekuwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Punguzo la beik kubwa Karibu ujipatie viwanja vizuri maeneo ya Kibaha Misugusugu. Viwanja tambarare kabisa. Viwanja viko 2km kutoka Morogoro road. Huduma za kijamii zipo karibu 20kwa20 bei 1.8m...
1 Reactions
121 Replies
16K Views
Wadau nauliza kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuwa kuna mashamba yanauzwa kwa bei rahisi sana huko Moro kuwa hizo habari ni za kweli na hekari ni Tshs ngapi na ni maeneo gani hasa...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari Wakuu, Nina heka moja ya mahindi mabichi natafuta mnunuzi, shamba lipo Kilombero Morogoro. Nisaidieni wakuu.
0 Reactions
0 Replies
931 Views
-Kiwanja kipo Kiluvya Gogoni mbele ya Kibamba -Kiwanja kinatazama Morogoro road -Kina ukubwa wa square meter 4800s -Kina hatimiliki -Kinafaa kwa matumizi ya sheli,godown au kiwanda bei : mil...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salamu wanajukwaa, Naomba kujuzwa bei ya hiki kiatu kwenye duka la mtumba na duka la special
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Cha kwanza niwafahamisheni kuwa , kuanzie leo ondoa mawazo yako kuwa ili uwe na ngozi yenye afya ni lazima uwe na vipodozi vingi.Bali baadhi ya vipdozi havipendani na vingine, ukazidi haribu ngozi...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Kina ukubwa wa 2500 square meters Kimepimwa Kinafikika Huduma za maji na umeme zipo. Bei elekezi 200mil. Kwa habari zaidi kuhusu kiwanja hiki wasiliana nami kwa simu +255627660225
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…