Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hellow...Kwa mahitaji ya frame za Miwani za macho,,lense zake pamoja na matengenezo ya aina zote za miwani za macho kama vile
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa mahitaji ya bustani/gardens za majumbani na maofisini,piga simu namba hizi hapa [emoji117][emoji117]0687239674.Tunapatikana Dar es Salaam, Tegeta na mikoani pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello members, Natafuta mtu mwenye kuuza Diagnosis machine ya magari yote iwe mpya au used. Au kama kuna mtu mwenye software ya Diagonis machine aniuzie kwa ku install kwenye laptop yangu. Karibuni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Kheri ya sikukuu ya Pasaka Mimi ni mtanzania, natuma Simu Tanzania kwa bei za jumla hata 1pc unaweza agiza Tuna ofisi Mbagala, kkoo, musoma, mwanza na Dodoma
5 Reactions
132 Replies
33K Views
Bajaj MC 459 CDG Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu. Haijawahi funguliwa engine hata kidogo. Ina Bima...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6. Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk. Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunauza Mr Uk home theaters zina Bluetooth DvD USB HDMI FM RADIO Whatts 1000 Mpya kabisa Bei 400,000 Tupigie 0755 655516
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk. Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako. Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi. Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Wakuu tusaidiane bei hzi za haya mazao eneo ulilopo... Kibiashara zaid ..... Lengo ni kucheza na faida tu.. Inapobidi na kimchanganuo...kdogo..gharama ya usafir kwa gunia.ushuru...etc...itakua...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa Serengeti nimevunjwa vunjwa mgongo na mashimo nikiwa kwenye gari . Naomba anaejua sehemu nzuri ya massage Arusha mjini. Asanteni in advance. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Banda la chakula , chipsi na vyakula vingine linauzwa , lipo (SAUT) malimbe kwa masha karibu na hostel ya south village , lina vitu vyote vya kupikia na mabenchi ya kisasa , liko sehemu nzuri...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Huu ubao hutumika kuninginiza vifaa kama vifaa vya simu n.k, unaitwaje? Na naweza upataje? Unaonekana kwa nyuma.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ina vyumba viwii vya kulala , choo cha ndani na nje. Ina jiko ,dinning na baraza ya mbele na jikoni. Nyumba inajitegemea mifumo ya maji na umeme. Ipo ndani ya fence,bei ni 250000/= fixed. Ipo...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Wakuu habari ya wakati huu, naomba kujua naweza pata wapi camera ya gari kama hii hapa bongo na bei yake pia Natanguliza shukrani.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wakuu, Vijana wetu hususani walio shule ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya afya ya akili, ikiwemo KHOFU ILIYOPITILIZA. Kwenye maisha khofu ni jambo la kawaida, lakini...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
SOLD SOLD SOLD
0 Reactions
6 Replies
918 Views
Sim Tecno Spark inauzwa 150k..IPO kwenye hali nzuri Nichek 0683 141402. Dar
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nahitaji kiwanja Dodoma sifa za kiwanja na offer ni kama ifuatavyo: 1. Kiwanja kisiwe umbali wa Meter 600 kutoka barabara ya lami. 2. Kiwanja kisiwe sehem yenye mafuriko ya msimu wa mnvua. 3...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…