Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Wakuu tusaidiane bei hzi za haya mazao eneo ulilopo...
Kibiashara zaid .....
Lengo ni kucheza na faida tu..
Inapobidi na kimchanganuo...kdogo..gharama ya usafir kwa gunia.ushuru...etc...itakua vzur wakuu
Na kama hamtachangia uzi huu ntaelewa pia....maana nyuz kama hzi hampendag...ndomana mi napoleone huwa naweka nyuz za ujinga ujinga.
Sasa huu ni uzi wa mwisho...msipochangia itanibid niendeleze nyuz zangu zile za ujinga ujinga
Maana nshaleta sana nyuz humu za namna hii watu hawachangii...ila nkiweka nyuz za shemej yao wanajaa
Uzi tayar...(usinijudge lakin)