Sokoni leo na land point tunakiwanja Mkonze ambacho kipo kalibu kabsa na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, n.k bei na bei yake ni Milion 8 tu ukubwa wake ni SQM 1456
wasiliana nasi kwa 0753...
Umofya kwenu wadau humu ndani.
Twende kwenye maada ! Ni hivi wakuu mimi nipo huku Njombe na ningependa niwashirikishe juu ya uvumi wa bei ya zao tajwa hapo juu,kuna kikundi cha watu huku...
Habari wana Jf.
Nilikua na uhitaji wa kujua wapi naeza nunua mafuta yanayozalishwa kwa miti,majani au matunda nk.
Mfano wa mafuta hayo ni ya
Mafuta ya mchaichai
Mafuta ya Avocado
Mafuta ya...
Chumba masta pamoja na sebule.
Ipo ndani ya fensi, Maji ya dawasa, parking ipo na ipo jirani na kituo cha dalala dakika tatu kutembea..
Inakuwa wazi tarehe 1/5/2021
Wahi
Bei: Tshs 150,000/Mwezi...
Panasonic gh5s camera for best video quality.
Uwezo
Shoot 4k up to 60fps
Dual native iso 400 and 1600
Support cinema 4k up 60fps
Shoot 4k 10bit 4:2:2 internaly
Assisting feature kamaFalse color...
Salaam Sana nimeanzisha bustani nzuri Sana ya maua nyumbani kwangu.
Nitakuwa napost maua tofauti tofauti na Bei zake Kama unataka mengi Kuna punguzo na delivery kwa Bei nafuu Sana!
NB: Kama Kuna...
Huduma hii inamsaidia mtoto kujifunza maada mambazo hajazielewa vizuri na wale pia wanaojiandaa na mitihani tuna package zao.
Vitabu na material zote ni Bure kabisa.( softcopy)
Ina vyumba 3, umeme na maji yapo.
Ipo ndani ya fensi.
Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima.
Kodi ya udalali: Laki sita.
Site visit, 10000.
Mawasiliano...
Wadau,
Kwa wale wanaomiliki vituo vya radio habari hii inaweza kuwahusu kwa namna moja au nyingine!
Kwa sasa kuna changamoto kubwa sana kutokana na radio nyingi sana kuanzishwa na bado...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
Mambo
Ninafikiria kutengeneza sakafu ya nyumba yangu. Options zilizopo ni tiles terazzo au sakafu ya mbao. Kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi, sakafu ipi kati ya hizo ni cheapest kujenga?
Msaada wenu muhimu
Nimejichanga vimilioni hivyo nahitaji hiyo gari rangi nyeusi.
Nipe jina la dalali maarufu atakayenipa gari iliyokaza bodi hadi miguu kwa bajeti yangu hiyo
Au kama yupo hapa...
Sifa za kiwanja
20*20m
Kina msingi wa kisasa
Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko
Kinafikika kwa gari
Umeme na maji vipo karibu
Mazungumzo mengine yapo