Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

husika na kichwa cha habari hapo juu,nipo DSM,nahitaji mfanya biashara niwe namletea nguo za watoto za mitumba grade one kwa bei ya jumla,pia nahitaji mfanya biaashara hata mwenye shule,nimletee...
3 Reactions
46 Replies
17K Views
Friji/Jokofu linauzwa Tsh.350,000/= NET...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TRUCK INA SIFA ZIFUATAZO Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Mileage 224,210 Km Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Nyeupe Spring juu ACCESSORIES AC, Power...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Car in good condition Available all the time in Dar Price; 3.0 mil Call: 0683011003
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa Goba njia nne ipo vizur sana bei yake ni milion 50 maongezi yapo kwa mwenye uhitaji wa hiyo nyumba haina migogoro wala mivutano inauzwa kwa sababu ya shida binafsi urefu ni 35 upana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nataka kujua wanapotoa huduma hii Dodoma. Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie tafadhali Natanguliza shukran zangu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello nauza nguo za watoto za mtumba grade A za kike na za kiume kuanzia mtoto mchanga hadi wa miaka 4 kwa bei nzuri, Pia nauza novels za wakubwa na watoto kwa bei ya tsh 3000 kwa novel 1(3000@1)...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, naomba kama kuna mtu ana viatu aina hii navihitajii sanaaaa....iwe pure Leather... Njoo na bei yakoo
0 Reactions
6 Replies
687 Views
TATIZO LA GPS KUISHA MUDA (GPS EXPIRE) Je kifaa cha GPS ambacho unatumia kinakwambia GPS expire? Je umeshindwa kulipia platform online unayotumia kwa ajili ya GPS yako Je una kifaa cha GPS...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Corolla Manual ipo Ukonga mazizin full AC Gari imekaza Sana cc 1490 Bei poa sana Mil 2.8 fixed. pga Sim 0683011003 Njoo ukague gari na fundi wako hakuna picha zaidi ya hizi
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja kina hati kabisa kinauzwa Mabwepande, kina ukubwa sqm 447.Kinapatikana Mabwepande Bar mpya,kinafaa kwa ajili ya biashara au makazi sababu kipo barabarani. Bei yake ni 11,000,000...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mashine/Vifaa kwa ajili ya kurahishisha uzalishaji, kuongeza thamani ya bidhaa zao na kuboresha shughuli za biashara zao kwa ujumla. Vifaa vingi...
22 Reactions
291 Replies
146K Views
Habari, Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa Inachuja yenyewe Inaweza kusaga mpaka miwa 300 kwa saa 1 750W Inawarranty ya mwaka mzima 1,100,000/ only...
10 Reactions
103 Replies
19K Views
Je, unajua hakuna sabuni nzuri katika mwili kama sabuni za mawingu? Najua utauliza kivipi je unafahamu sabuni ya magadi haina expire date za sabuni zingine ? Uzuri wake unaanzia hapo Ogopa sana...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Viwanja vunauzwa Kigamboni Vikunai, vinatazamana na maghorofa ya NSSF. Viwanja vina ukubwa wa mita 27*22 Price = million 5 Cont 0718 606739 0685 752509 Kwenda kuona viwanja site ni buree
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au...
1 Reactions
1 Replies
707 Views
Ni ng'ombe chotara wenye umri wa mwaka1 jike na dume, jike yupo tayari kwa kupandishwa ili ashike mimba, hawana wagonjwa, nawauza wote hawa kwa sh 1,500,000. Wanapatikana pugu kajiungeni, dar piga...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii hapa Run X nzuri tu Haina shida yoyote. Inapatikana Dar Tuwasiliane 0683011003 Imerudiwa rangi full kutokana na some scratches
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Used Simtanks mbili za Lita 5000 Kila mmoja yanauzwa Magomeni Mikumi. Kila mmoja linauzwa kwa 250,000. Kwa mawasiliano Zaidi piga namba 0687320462 au 0693890769.
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…