Mafundi viyoyozi (AC) na majokofu (FRIDGES)

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
2,077
1,392
Habari wanajf.

Kwa mahitaji yako ya fundi viyoyozi na majokofu pamoja na friza,ni PM.

Installation ya viyoyozi na kuziosha,utengenezaji wa mafriji na mafriza.Huhitaji kuhangaika,huduma yetu ni hapo hapo nyumbani kwako au ofisini kwako.

Karibuni sana.
 
Mkuu ungeweka na mawasiliano bana. Nimehangaika kutafuta fundi wa fridge kama siku 3 hivi ndio nikampata jana.
 
Tunatoa huduma zifuatazo:
1.Kutengeneza friza/friji (maintenance)
2.Kufunga AC (Installation)
3.Kutengeneza AC (Maintenance)
4.Kujaza gesi (gas refilling)
5.Kuosha/kusafisha AC
Tupo Dar es salaam.Kwa mawasiliano tupigie kwenye 0653814815 na 0783814814.
Karibuni.
 
Tunatoa huduma zifuatazo:
1.Kutengeneza friji, friza na viyoyozi (maintanance)
2.Kujaza gesi.
3.Kufunga AC (installation) na kuzifanyia usafi (general cleaning)
Kwa mawasiliana tutafute kwenye namba hizi: 0653 814814 na 0684 442585.
Tutakufuata hapo hapo ulipo.Tunapatikana Dar es Salaam.

Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanajf.

Ninayo furaha ya kuwatangazia wadau wa JF kwamba tunatoa huduma ya kutengeneza FRIJI na MAFRIZA halikadhalika na kufunga viyoyozi (AC installation) pamoja na huduma zote zinazohusiana na AC kiujumla yaani maintenance.Huduma zetu ni mobile yaani tunakufuata ulipo.Tupo Dar es salaam.

Kwa mawasiliano piga 0783 814814, 0759924772, 0654909908.

Karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom