Nokia 105 kwa 35,000 tu

Nokia 105 kwa 35,000 tu

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
832
Reaction score
997

Attachments

  • IMG-20200923-WA0019.jpg
    IMG-20200923-WA0019.jpg
    16.9 KB · Views: 12
feki sana hizo simu...harafu sio nokia.... na kama ni nokia basi wamerudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Unakataa kuwa sio Nokia?.
Kama una njia ya kuthibitisha kuwa sio Nokia Original, sema tuonane nikuletee uhakiki kama ni fake au original.
 
Nokia za hivyo zilitoka mwaka jana au juzi mwishoni na zilianzia bei ya 105000 kwa eneo nilikokuwa mimi kipindi hicho nashangaa bei imeshuka sana hadi kuwa 35000
Hazijawahi fika hiyo bei ya 105k, labda kama wazungumzia Nokia 3310.
Hizo simu k.koo zauzwa 40k - 50k.
Karibu mkuu
 
hizo simu ni feki...
Ndugu mwalimu kwa roho mbaya hiyo uliyokuwa nayo usitegemee utaja fanikiwa. Utatafuta wachawi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe.
Huwezi lazimisha simu fake ili uharibu biashara ya mtu, badala ya kutoa fact. Umesoma huo ualimu wako ila hujaelimika mpaka leo. Bado una safari ndefu sana kiongozi.
Kama una facts zozote zakuonyesha hizo simu ni fake, unaweza ziweka hapa any time.
 
Mkuu hizo simu za nokia 3310 kwa wewe unaweza kunitaftia kwa bei gani ukiachana na bei za kariakoo?
Mkuu hzo sina kwa sasa zimeisha, na nashindwa kukuahidi kuzipata karibuni kwa kuwa mizigo inachelewa kufika.
 
Ni kweli ni feki kuna ambacho nilinunua yani hata sauti ya muito ukiacha simu sebuleni ukiwa dinning husikii na ringtone volume mwisho kweli ni feki sio nzuri simshauri mtu kununua
 
Ni kweli ni feki kuna ambacho nilinunua yani hata sauti ya muito ukiacha simu sebuleni ukiwa dinning husikii na ringtone volume mwisho kweli ni feki sio nzuri simshauri mtu kununua
Ulinunua kwetu mkuu?.
Kwa wateja wetu watajaribu wenyewe kila kitu, na kama akiridhika nayo ndo atalipia. Kwa changamoto hiyo ya sauti kwa hizi hamna zina sauti reasonable kabisa ambayo yatakikana. Ningeweza tuma voicenote ningekutumia kwa sababu kapo kamoja nakatumia mwnyw.
Karibu
 
Sijanunua kwenu mkuu.
Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom