House4Rent Nyumba inapangishwa ipo kigamboni PC mikadi

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,487
2,695
Nyumba inapangishwa 150,000 sebule kubwa chumba na choo ndani kodi miezi 6
ndani ya uzio
ipo kigamboni mikadi kutoka main road mpk nyumba ilipo ni meter 70 ipo pembezoni mwa beach ya mikadi

IMG_6700.jpg

IMG_6697.jpg

IMG_6696.jpg

IMG_6695.jpg

IMG_6698.jpg
 
Jf wengi wauzao au kunadi bidhaa ni makuzi, huwezi fananisha jf na kupatana kwa upande wa biashara humu wengi watoto sijui au kutojitambua hata bidhaa zao zina mashaka nyingi.
 
Sure, kupatana watu wapo serious japo huko ukizubaa unapigwa au kuuziwa kitu kibovu au fake
 
Jf wengi wauzao au kunadi bidhaa ni makuzi, huwezi fananisha jf na kupatana kwa upande wa biashara humu wengi watoto sijui au kutojitambua hata bidhaa zao zina mashaka nyingi.

Mbon ujuaji mwingi kwan ulilazimishwa si uende huko kupatana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom