Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea
Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali...
Gari linauzwa, Suzuki Escudo T936AXG, Manual gear, Cc 1600. Liliagizwa kutoka Japan 2008, liko kwenye hali nzuri. Bei inaanzia 6.0m (malewano yapo). Gari lipo Kisota, Kigamboni, Dar es Salaam...
Gari haina shida yoyote ile
Full vibal
Full ac
Haijawai kugongwa hata mara moja
Bei ni 11800000
Biashara maelewano mi ndo mmiliki
Tigo 0718017711
Voda 0743553553
Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine.
Inaweza kufaa kwa:-
1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii
2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi...
Ipo katika hali ya kulizisha inafanya kazi, ni kwa bei ya 12M Tegeta - Dsm, ni pm tuzungumze na kubadirishana mawasiliano
Aina ya engine ni CC 2500 petrol 2RZ, imeshatembea km 125,300
Nauza gari aina ya NOAH VOX 2002 MODEL. Ipo katikati hali nzuri
BEI; Milioni 9.5
Mawasiliano: 0717255027
Haina tatizo lolote, nauza nijikwamue kidogo kwasababu nimepata mtikisiko wa kiuchumi.
OFA
*vehicle details ;*
make : mitsubishi
aina ya gari: pajero gdi
body type : station wagon
number :T369 CSN
color : green
fuel used : petrol
transmission : automatic
engine capacity : 1800cc...
engine capacity : 1830cc
km : 85000
ina four wheel drive
namba :CSN
fuel used : petrol
transmission : automatic
body type : station wagon
BEI NI MILLIONI SABA NA NUSU.
engine ni genuine...
Habari zenu wakuu?
Nauza gari aina ya Toyota Voltz
Rangi ya Marun
Haina tatizo lolote
Haidaiwi chochote
12milion
Note : gari ipo dsm
Contacts/whatsap 0714 521128
For pictures see the...
Hello wadau nina gari aina ya toyota surf naomba anayeuza Bampa la nyuma ya Gari na kile kikofia cha juu cha nyuma ya Gari aniuzie. ziwe kwenye hali nzuri ...nipo mwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.