Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

Dalali Alpha

Member
Apr 20, 2021
89
125
Chumba Choo ndani (Masta) na Sebule.
Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu.

Mahali: Mbezibeach Makonde
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210606_154812.jpg
IMG_20210606_154630.jpg
IMG_20210606_154620.jpg
IMG_20210606_154816.jpg
 
Dalali Alpha

Member
Apr 20, 2021
89
125
Chumba Choo ndani (Masta).
Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu, Nyumba ya pili kutoka kituo cha daladala.

Mahali: Mbezibeach Makonde
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210526_130344.jpg
IMG_20210526_130240-1.jpg
 
Dalali Alpha

Member
Apr 20, 2021
89
125
Chumba Choo ndani (Masta)
Maji ya dawasa/bomba 24hrs, Umeme luku yake.

Mahali: Mbezibeach Afrikana
Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000

Maelezo Zaidi: 0716442950
IMG_20210530_081201.jpg
20210530080724_0.jpg
 
Attachments

  • images%20(12).jpg
    File size
    38.3 KB
    Views
    0

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,582
2,000
Yaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.

Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.

Afu ni Mbezi Beach. Loh.

Kiranga njoo uone
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,925

Geto chafu hata ukimpeleka demu wako anatoka na fungus.
 
Dalali Alpha

Member
Apr 20, 2021
89
125
Yaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.

Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.

Afu ni Mbezi Beach. Loh.

Kiranga njoo uone
Watu hawafanani uwezo pimbi wewe, Unajifanya kujichetua hapa, wakati bibi yako analala kwenye kajumba cha Udongo uko kijijini kwenu
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,488
2,000
Mwaka jana niliishi Buza.

Chumba na sebule. Tiles, ceiling board ya gypsum, choo cha public ila kilikua kinapendeza muonekano. Maji ni ya chumvi ila umeme upo 24/ 7 bili ya umeme 5000 na maji haizidi 1500.

Kodi ilikua 60,000 kwa mwezi. Wenye nyumba wa Buza wanapokea hata kodi ya miezi miwili Mungu awabariki.

Anyway, kwa picha za mleta uzi nipo radhi kurudi kuishi Buza kuliko kokote alipopaweka hapo. I mean 100K kwa ajili ya choo ambacho ukigeuka umegusa ukuta? Or 150K kwa single room kisa jina Mbezi? It ain't fair kwa mfuko na uchumi wangu.

Ila ingetokea hivyo vyumba vipo karibu na chuo ungepata wapangaji sana.
 
Endelea Kuishi buza, unafikili wote tukiishi mbezibeach buza ataishi nani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom