KOZI YA KUWA CHEF

KOZI YA KUWA CHEF

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,190
Reaction score
1,217
Habari za asubuhi wadau,

Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio tunatafuta alternative kama kuna mtaalamu wa hili msaada tafadhali!
 
Mbona anaenda kusoma hata kama matokeo yake ni point 35.

Tafuta chuo mpeleke
 
Kuna njia mbili. Moja ni kwenda kwenye vyuo vya kufundishia maswala ya mapishi, nahisi VETA wanatoa kozi hizi. Pili ni kuanza upishi kama mama/babalishe utapata uzoefu huku ukiingiza hela.
 
Back
Top Bottom