Leo nna mzigo mwingine... Huu unaitwa MSR X6 Bluetooth Deftun.
Huu unausika na kutengeneza Door Lock zenye high security zinazotumia smart credit card [emoji388] Kama za Bank kufugulia milango...
Habari za asubuhi waungwana;
Kama tunavyofahamu changamoto ya ajira ni dhahiri kwamba ipo na kwamba hali ya uchumi bado ni tete na fursa zinaendelewa kuwa adimu.Hata hivyo tusife moyo kwani maisha...
Subject:Website Design and Hosting Proposal
About Us
TZHSOSTS.COM offers digital marketing services which include website,social media,email and erp systems for management of small and medium...
Photo from vegrab.co.tz
Mh: Mama Getrude Mongella, Rais wa kwanza wa umoja wa bunge la Africa, na balozi wa india in 1990s,Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar es salaam, Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau...
Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni?
Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako?
Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental
Wasiliana nasi sasa...
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu anatafuta gari ya Kuanzia maisha walau.
Gari anazopendekeza ni cresta, corolla, starlet, gx 100.
Iwe kwenye hali nzuri tu na inayotembea.
Ziwe engine ndogo...
Hello habari,
Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR.
Na utaratibu mwingine kama upo.
Asante.
Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake:
*Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja
Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa...
Wana JF.
Ninatafuta duka linalouza perfumes za ndan ya nyumba na chooni.
Nahitaji zile ambazo nadhan zinatumia kama batteries hivi. Kila baada ya muda fulani ina release perfumes.
Hizi huwa...
Dell Latitude d610.
Hard disk 320GB
Duo core.
KWANINI NAIUZA?:
a)- haiwaki tatizo linaweza likawa ni RAM
( Inatumia RAM DDR2)
b)-sina adapter yake.
(Sijaipeleka kwa fundi kuifungua...
Ina vyumba 3 kimojawapo ni self,public toilet,jiko,dining room,sebule.Hati ipo,uwanja uliobaki unaweza kujenga nyumba nyingine kama hii.
Bei 22m
Maongezi zaidi au kuja kuiona wasiliana nami kwa...
Urgent pls
Nimejikusanya na kupata chenji kidogo, sitataja kiasi lakini haipungui tsh. 3 milioni. Naomba mniunganishe na dalali au site zenye gari used za bei rahisi nahitaji kausafiri msimu wa...
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.