Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi Mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba viwili vya kulala, Sebule, choo ndani...
Natafuta mtaalam wa mifugo ambaye atakua na certificate au diploma ya Mifugo kwaajili ya kusimamia Shamba la Mifugo ambalo linajihusisha na ufugaji wa Nguruwe na ndege kama kuku..bata etc.Ni vyema...
#SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.
Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 150000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Chumba choo ndani na Sebule. Choo cha nje Kipo...
Wadau wanaopenda kuishi kisasa,njoo uchukue microwave used kwa bei ya kusafishaa stoo.
Model ni Matsui na Hussel Hobbs 17litres kwa shilingi elfu 60
Tupo Mabibo external Dar es salaam.
Mobile...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba 2 vya Kulala, Sebule, Jiko ndani na...
Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company...
Tunauza na kukodisha magauni ya harusi kwa bei sawa na bure. Kuuza ni kuanzia 250,000/- kukodisha ni kuanzia 100,000/- 130,000/- 150,000/- hadi 200,000/-.
Tunatoa huduma ya chakula kwenye sherehe...
Bado unasumbuka na mtoto asieongezeka uzito karibu Lily lishe kiboko watoto wasioongezeka uzito unga wetu ni msafi umezingatia uwiano wa nafaka usisumbuke kukabana na mtoto Karibu uone tofauti...
Hello wanajamii mnoishi Dodoma, ningependa kujua bei ya material hizi za ujenzi.
1. Gypsum board gyproc
2. Gypsum board bbg au ya china yoyote
3: Tiles 40 x 40, 25 x 50(45) za twyford au goodwill...
64gb, no scratch no dent
Ina wiki mbili tangu itoke Dubai
Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni
Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa
Unapewa na chaja yake
Bei 250k, wa 200k msinitafute
Piga...
Used bt its on exellent condition
500 GB
1 controler
Hdmi, usb and power cable
2 top games cd
- uncharted 4
- call of duty 3 black ops
Iko na 3 bonus acessories
- back cooling fen
- power bank ya...
Nyumba ipo mwembe mdogo Kigamboni
Ina vyumba vitatu kimoja master sitting
Room jiko na public toilet Bei milioni thelasini na tano (ml 35) ipo mita 200 toka lami ilipo nicheki...