Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi.
Kitabu ni ebook bei...
Samsung galax a70 for sale
Simu bora kabisa zinauzwa zimebakia 3 tu.
Uwezo wake ni kama ifuatavyo
1. Internal memory 128 GB
2. Ram gb6
3.Full hd +amoled
4. Rear camera 32mp+ 8mp triple...
Uvimo ndio fahari ya watanzania kwa sasa.
Huduma zoote za ujenzi, ushauri na mafunzo juu ya kila kitu kwenye ujezi SASA UNAPATA UVIMO.
Uvimo Maktaba
Je, nje ya gharama ya vifaa vya kupandisha...
Viwanja vipo Cheka kilipo chuo Cha Silva
Vina ukubwa wa 25/23 Bei milioni tatu 3
Viwanja vimebaki vichache njoo uwekeze
Hostel kwa wanachuo nicheki 0767672719
0787672719
Habari za mchana,
Ninaomba kwa anayefahamu sehemu duka/ kampuni/ kiwanda ambapo ninaweza pata desktop na laptop kwa bei ya jumla au ya chini zaidi.
Ninahitaji destop 300 na laptop 50 kuna mahali...
Ninauza pasi original za Philips!
Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake.
Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000...
Tunauza samaki wa maji chumvi
Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu
Kwa kilo tunauza 7500
Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua.
Wasiliana nasi kwa namba...
Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana.
Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
Wana jamiii nimekuja leo sina cha ziada zaidi ya kuuza ujuzi wangu nilioupata darasani kwa miaka takriban mitano.
Basi ipo hivi, kama unataka ramani ya aina yeyote ile tutakufanyia kwa weledi wa...
HP NOTEBOOK
intel celeron
2.4ghz maxspeed
500 GB HDD
4GB RAM (unaweza pata 8 GB RAM ukiongeza Tshs. 50,000)
15.6 INCHES
Inakaa na battery kwa lisaa 1 tu na sio zaidi.
Bei yake ni Tshs. 300,000...