Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo DAR ES SALAAM Weka Offer Yako WhatsApp +255 629 526494
0 Reactions
0 Replies
116 Views
MOTOROLA ( E 13) Ipo DAR ES SALAAM Bei; 110,000 (fixed price) Sababu za kuuuza:- Imenunuliwa mpya,so that one is currently not in use. WhatsApp +255 629 526494
0 Reactions
0 Replies
105 Views
✨ Happy New Year 2026! ✨ As we step into a new year, we remain committed to growth, reliability, and delivering value at every stage of the supply chain. 2026 is a year for stronger...
5 Reactions
5 Replies
228 Views
Mwenye Lathe machine inayouzwa tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
472 Views
Bei/Price TSH 100M Call +255 747 999 927 LAND CRUISER VX AMAZON Year: 2002 Engine: 4.2L Fuel Used: DIESEL Engine Type: 1HD-FTE Transmission: AUTOMATIC 100% Duty Paid Free Registration Exchange...
2 Reactions
24 Replies
576 Views
Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalumu kwa kupost bajaji, pikipiki na magari yanayouzwa..... Bajaji numbe ELV Ipo dar es salaam inauzwa Tsh. 7.5mil.
2 Reactions
8 Replies
287 Views
Viwanja viwili vinauzwa mpigi magoe Unashuka kituo kinaitwa Machimbo Ukubwa Mita 20/20 vipo viwili Kila kimoja bei Mln 5.5 Kipo kiwanja kingine Cha Mln 5.5 Maongezi yapo kidogo 0775 179905
2 Reactions
9 Replies
756 Views
Kuna dereva anatafuta bajaji ya kuendesha ya mkataba kwa maeneo ya dar es salaam.. Yupo tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya dar es salaam. Ni dereva mwaminifu. Terms na vigezo vya mkataba...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Habari zenu Frida insurance agent tunakata bima za magari ya aina zote chini ya taasisi ya bima ya taifa NIC Malipo ni kupitia control number unapata cover note yako ndani ya dakika 10 Tunatoa...
1 Reactions
2 Replies
160 Views
Bei/Price TSH 85M Call +255 747 999 927 JEEP GRAND CHEROKEE Year: 2016 Engine: 3.6L Mileage: 94K Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC 100% Duty Paid Free Registration Exchange Possible...
1 Reactions
0 Replies
134 Views
Habari.. karibu kwa elimu na huduma ya bima za magari, BAJAJI, PIKIPIKI malipo ni kwa control number unapata cover note yako ndani ya dakika 10 Linda chombo chako cha moto na NIC insurance NIC...
1 Reactions
11 Replies
219 Views
Nauza ac ya hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa Wazee huu ndio msimu wa joto sasa usikubali ofa kama hii ikupite hii ni ac dual inveter btu 18000, nimeitumia kwa miezi 9 na sababu...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum,sisi ni wataalamu na wabobevu wa uchimbaji wa Visima vya maji kwa kutumia mitambo maalumu Tunachimba visima virefu na visima vifupi Pia tunafanya Underground water survey...
3 Reactions
2 Replies
322 Views
Habari wakuu. Nyumba hiyo inauzwa ipo Tandika Sokoni inaukubwa wa sqm 350. Hii nyumba ina jumla ya Frem30 Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo hizo Frem za mbele kodi yake ni sh.150,000.hizo za...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Samsung A05 storage 64gb Ram 4 Haina kipengele Location Makumbusho Price 190,000tsh Imenyooka✅ call 0698248323
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako! Inaweza Nini? Inaangalia biashara yako mwanzo hadi...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari maboss Nyumba inauzwa Msasani karibu na kituo cha standi ya daladala. Kituo kinautwa macho bila Shaka ni standi maarufu sana msasani. Nyumba inaangalia barabara ya Lami. Kiwanja cha...
0 Reactions
3 Replies
349 Views
Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia. Bei rafiki. .Simu 0626431257
1 Reactions
3 Replies
219 Views
Karibuni Viwanja safi kabisa, vipo Mkombozi Tambani Mbande, Bei nafuu kabisa, umeme upo, maji yapo FUTI 50X40, 40X30, 5Mil, 4Mil, 2.5 Mil.
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom