Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

TV inapatikana Sinza Sweet Corner. Ni samsung inch 40 smart. Haina shida yoyote ile.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii hapa smart tv 43" aina ya TCL. Vifaa vyake vipo (Stendi ya ukutani remote) Bei Tshs 580,000/= Ipo Airport, Dar es salaam. Wahi mapema hazinaga kusubiri Piga simu 0744033555 Ofa: natoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau habari natafuta carina number B au C kwa mawasiliano zaid 0675128093.
0 Reactions
2 Replies
538 Views
Wasalamu kwa wote Mabegi yanauzwa kwa Bei ya jumla. Nikwawakazi wa Arusha na Moshi. Agiza tukuletee ulipo. Bei ni 16,000 chini ya pic 100. Ila kuanzia pic 100 ni shilingi 15,000. Karibu asante...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Eneo Chanika Buyuni kituo cha daladala kwa dadi, ukubwa urefu hatua 25 na upana hatua 15. Eneo lina msingi wa nyumba vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom, kina sebule, jiko na choo cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Car vacuum cleaner. -Machine ndogo ya kusafishia ndani ya gari -Inanyonya uchafu sehem zozote ndani ya gari -Unatumia umeme wa gari DC 12 volt-57,500 tu Tupo kkoo dar es salaam Call-0753038470
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
2 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu nauza landrover 109, ina namba za zaman,engine ipo pouwa, sema imekaa muda bila kutumika. Mwenye nia ani PM
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama unahitaji kuajiri yeyote kati ya watu wafuatao. • Dereva wa bodaboda/ bajaji/ daladala • Dereva wa Uber • Muhudumu wa Mgahawa • Mpishi wa Mgahawa/ Muokaji mikate • Muuzaji wa duka la dawa. •...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Karibuni,tunao Dagaa waliokaangwa toka Bukoba bei yetu ni nafuu tunauza kwa kipimo cha ndoo kubwa ya rangi tsh 50,000 ndoo ndogo tsh 30,000.na kwa bei ya jumla kilo tunauza tsh 7000.karibuni.Tupo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Aah habari za majukum member wa Jf leo tumekuja na huduma ya kuongea bure miaka miwili unapiga kwenda mitandao yote ukiwa na lain ya tigo kwa gharama ya elf 20 tu... Karibuni sana MALIPO NI...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Nauza Nissan Patrol haina shida yoyote ni kuwasha na kuondoka Bei 9,000,000 Mawasiliano whatsap 0626333300
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kujua wapi naweza pata drip irrigation pipe lines kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya. Zinauzwa kwa urefu gani na bei ipoje? Ahsante
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
COURSE DETAILS Step Ahead Financial Consultants (SAFCO) Ltd invites ALL Accountants and Auditors for the Financial Reporting with Advanced MS Excel training scheduled as follows: DATES: 11th...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Haina tatizo lolote Bei laki 750
2 Reactions
22 Replies
2K Views
UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi jf, Ninauhitaji na kabati la chips la aluminium, yeyote mwenye nalo naomba ani pm please, nielewane nae, Pia kama kuna mtu yeyote anajiko la chips la mkaa naomba ani pm niongee nae tafadhali
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sony Xperia XZ3 Used Abroad Rom 64GB Ram 6GB Price : 340,000 6 months warranty Call : 0676175260 Kariakoo Uhuru & Msimbazi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…