Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Habari, Gari Excellent Condition inauzwa Nissan Murano - T879 DRW In a good condition, Full Ac Bei. - 10.5 M Contact - 0685020831 Gari ipo Tegeta - Kibo Complex, unaeeza nipigia muda wowote...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari jf Rejea kichwa cha habari hapo juu kama kuna mtu anauza sofa used zile ngumu zilizotolewa maofisin au majumbani nahitaji kununua , taja location na picha kama unazo itapendeza pia
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wanaohitaji kuweka fridge kwenye gari yako kwa ajili ya kupoza na kuhifadhia chakula au kinywaji wakati wa safari au misele yako. Ninazo mini fridge nzuri sana zinafungwa kwenye gari na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Introducing to you an innovative system to track payments #sends automatic reminders and announcements to parents, #easy to use and affordable to all. Price TZS 3000 per child per year. REGISTER...
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services...
0 Reactions
87 Replies
24K Views
Update: IMEUZWAAAAAAAA The car is SOLD as fvck😅 Imeuzwaaaa
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello habari wana jamvi, kwa mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha mizigo kutoka Tanzania kwenda nje ya Tanzania, ninataka kupeleka vitunguu Gaborone, Botswana vitunguu gunia 80, sasa hapo...
1 Reactions
6 Replies
45K Views
Naiuza kama ilivyo Samsung note 9 Imeanguka Imevunja kioo Inawaka na ukipigiwa inaita Tatizo kioo tu Naiuza kama ilivyo Mali halali
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247 Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow. Vigezo ni kama...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wanaopenda makazi yaliyo karibu na barabara kuu hii inawafaa zaidi. Nyumba ipo Gongo la mboto(Kwalala). Bado ina eneo na bei ni nafuu kabisa. Tsh 35,000,000. Karibu kwa mazungumzo. Call 0755519358
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Ninauza overlock machine - millioni moja (1,000,000) Sewing machine - millioni moja (1,000,000) Button lock machine -millioni 2(2,000,000) Button machine - mjllion 2 (2,000,000) Kama mnavyoona...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Wadau habarini za mchana,ninaunza gari yangu aina ya Harrier Old Model,bei ni Tshs 15,000,000/ sababu zakuiuza ni kwamba kwamba nauza niweze kuongeza pesa ninunue gari jingine!
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na: 1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title" 2.Namna ya kuandaa "research proposal" 3.Njia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari!!mwenye Motherboard ya samsung A71 au anayemjua fundi ambaye anauza au mtu yeyote anichek inbox sababu mafundi niliyowapelekea simu Yangu A71 imewashinda ,au Ambaye anauza A71 Used but...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninauza mashine za kusaga siagi ya karanga yaani kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara ndogo ya uuzaji wa Penuty butter karibuni niwauzie mashine. Sifa za mashine Inasaga kwa kutumia nishati ya...
4 Reactions
62 Replies
13K Views
Kanisa la City Christian Centre-TAG Upanga chini ya Bishop DR. Ranwell Mwenisongole wanakualika katika (CHURCH ANNIVERSARY - 40 Years) maadhimisho ya miaka 40 ya Kanisa hilo. Ni tarehe 11/11/2018...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…