Shamba linauzwa ni beach plot liko tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko).
Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na...
Habari wana Jf.
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu, nauza mashine ya kusafishia taa za magari bei ni Tsh 150,000/= Haina tatizo lolote.
Uzuri wa hii mashine imefanyiwa...
Nauza compressor ndogo na heavy duty . Una uwezo wa kutembea nayo ndani ya gari yako popote uendapo. Haswa wale wanaosafiri na magari yao binafsi hii mashine ni muhimu kwako.
Ina uwezo wa kujaza...
Asilimia kubwa ya ajali za barabarani hutokea wakati wa usiku ..
Hii ni kutokana na uoni hafifu unaosababishwa na miale ya mwanga wa vyombo vingine vya usafiri au matatizo ya mtu kwa na uoni...
Imekuja mashine maalumu ya kusafisha taa kwa teknolojia mpya ijulikanayo kama, XFOLIANT TECHNOLOGY...inayofanya taa yako ya gari kurudi katika mwonekano wake wa awali.
Iko hivi hiyo mashine...
Nimejivuta sana kuandika hii post na mpaka namaliza kuandika line hii ya kwanza bado sijapata wazo sahihi ni wapi nianzie ili kitu ninachotaka kusema kieleweke.
Tafadhari! kabla hujasitisha...
Hamjambo waungwana, maboya ya kuweza ku-uphold mzigo wa kilo 10 kwenye maji fresh yanahitajika. Kama kuna mtu anajua wapi yanapatikana, tafadhali tuwasiliane private au hapa sebureni
Wapendwa.
Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu.
Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara.
Kudanga siwezi...
Habar wakuu
Kuna ice cream mold nimeipenda ali express ya 30 holes.
Gharama yake ni nafuu Ni kama $60 katika store ya Ezzz store
Nimechat nao na nimewaomba shipping watumie silent ocean na...
Jipatie testimony face cream,kiboko ya chunusi,madoa ,makunyanzi,na inakupa mng'ao wa asili, utaipata kwa 25,000. Dodoma, mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Pia tunahitaji mawakala
Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba.
Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita.
Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea...
Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL.
Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia...
Nyumba ina vyumba 3 vyote ni self
Size plot 600sqm
Usalama upo wa kutosha maana pia nyumba zimejengwa kwenye compound moja ila kila moja ina fence na geti lake
Bei 285m
Maongezi zaidi chek nami...
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.