KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,145
- 1,892
Habar wakuu
Kuna ice cream mold nimeipenda ali express ya 30 holes.
Gharama yake ni nafuu Ni kama $60 katika store ya Ezzz store
Nimechat nao na nimewaomba shipping watumie silent ocean na akanipa jibu la ngoja afatilie kwanza.
Ila kuna Jambo kidogo limenitia mashaka sijaona mahali pa customer reviews ingawa rating yake is above 94%
Bado sijawasiliana na silent ocean je akikubali wanaweza kunikadiria gharama ya usafiri Tsh ngapi?
Ingawa mold kubwa ya 40 holes in weight ya 11kg
Size 35cm*35cm*32cm hii ndo reference yangu
Maana hata items description kaweka picha 2 Tu nilitegemea kuona weight pamoja na size.
Kwa wazoefu mwl RCT na wengine naombeni msaada
Je anaweza kua magumashi?