Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this...
Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba.
Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio...
Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000
Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Natafuta chumba sebure na jiko kea 100000 hata ukiwa chumba na sebure iwe katika mazingira mazuri Kodi miezi mitatu iwe maeneo ya makumbusho,kinondoni,namanga,hata mwenge sio mbaya
Habari za muda huu,
Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora!
Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa...
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center...
Maduka yetu yanapatikana jengo la stand kuu ya mabasi Moshi Mjini Room no M36 na M38.
Tunatuma bidhaa zetu kwenye mikoa yote Tanzania pamoja na nchi jirani
Mawasiliano
Whatsapp 0757252165
Piga...
Wadau, mimi ni mjasiriamali mdogo, nipo Bukoba, najihusisha na uuzaji wa dagaa wa Bukoba
Kama mkoa uliopo kuna masoko au unafanya biashara hiyo nijuze au kama unajua mdau anayenunua dagaa vyema...
Habari ndugu.
Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam
WhatsApp: Share on...
TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO*
Bei tumeshusha Kwa 30%
TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE
KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA MITAMBO MAALUM TOKA BELGIUM...
Jamani nilikuwa nahitaji line ya Safaricom kama kuna mtu anajua zinapopatikana au anauza naomba anicheki 0755 325 507
Sent using Jamii Forums mobile app
anahitajika mtu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa nesi yoyote kutoka Dodoma wilayani Mpwapwa kuja mkoa.wa Lindi na Mtwara kwa wilaya kama mtwara mjini,Newala,Tandaimba,Masasi,Ruangwa,Mtwara...
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.