Vitabu Jumla na Rejareja

Danny D

Member
Apr 7, 2014
86
38
Kwa mahitaji ya vitabu vya jumla na rejareja

Contact:0715 977883
Or
0756 017036
20220128_125440.jpg
20220128_125505.jpg
20220127_110846.jpg
20220128_125428.jpg
 
Una hivi vitabu mkuu
1.John Bird - Electrical and Electronics principal
2.John Bird - Engineering Mathematics?
 
nnahitaji kufanya hii biashara ila sina idea yoyote kuhusu hii biashara.
nipe abcd juu ya hili

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Cjajua unataka kuifanya kwa ukubwa gani(Jumla/Rejareja) but basically ni kawaida tu kama una msingi wako baada ya kumalizana na serikali unachukua mzigo wako kwenye maduka ya jumla/ publisher's kulingana na mahitaji ya wateja wako unaweka dukani maisha yanaendelea.

Faida ipo from 1k to 20k per piece kulingana na bei ya kitabu husika...coz kuna vitabu vinauzwa mpaka 100+k
 
Asalaam mkuu ninahitaji kitabu cha zamani kwa ajili ya maktaba yangu,90 min in Entebbe au Operation Thunderbolt pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom