Habari,
Leo natka nilete mada ndogo ndani ya mada ndogo
Katika media tumewahi kukutana na maneno Insolvent na Bankruptcy. Pia kama ni mfanya biashara umewahi kusikia pia neno KUFILISIKA au...
Pata viwanja kwa bei nafuu eneo la Kibaha madafu na mbezi mzalendo njia ya malamba.
Eneo lenye urefu wa 56 meter kwa 43 na mapana ya meter 19 umbali wa dakika 20 kwa miguu toka morogoro road. Kwa...
Habari wadau, naomba msaada anayejua sehemu inapouzwa hiyo dawa hapa Tanzania.
5%Minoxidili, Kirkland au Rogaine, yote ni majina yake.
Nimeshazunguka kwenye pharmacy mbalimbali nimeikosa.
Habari za wakati huu;
Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na...
FAHAMU MACHACHE KUHUSU GRANITE.
Na tiles Installation
INSTAGRAM @tiles_installation_team
[emoji3513] 0714 12 20 11
Karibu,
GRANITE(Itale)
Itale ni aina ya jiwe la asili ambalo limetengenezwa...
Kwa UNYENYEKEVU mkubwa nawahabarisha kwamba
Hostel Vyumba 14 inapangishwa/kuuzwa
Eneo Malimbe: Mwanza Chuo Cha SAUT
Bei: Milioni 6 tshs kwa mwaka Kupangishwa / Milioni 180 tshs kuuza (mauzo...
Wakuu niko Moro nilikuwa nataka chumba kimoja chenye choo ndani bajet 40000 hela ya dalali wakuu hali sio shwari kodi ipo ya miezi 3.
Msaada mwenye connection
Una uhitaji wa issues za stationery kama..
Photocopy
Printing
Binding
Lamination
Basi usihangaike tena.
Ninatoa hizo huduma, kwa wakazi wa Dar Es Salaam na kwa wale wa mikoani naweza kukutumia...
Habari wadau ..
Nauza Azam tv ya antena kwa 80000 tu..
Nimenunua 99000 (pamoja na antena yake)..
Sijawahi kutumia kwasababu naishi nje ya mji sana hivyo hakifanyi kazi..
0622 050591
0765...
Kwa maswali na maongezi zaidi nitafute kwenye number 0686819779..
Gharama za usafiri ni juu yako..
Naviuza sababu naamia Arusha na sioni sababu ya kusafiri navyo itanicost mno bora nkanunue vipya...
Tunazo mashine za kuchomea vyuma (welding mashine) nzuri na imara sana. Tunazo mashine za kuchaji betri za magari ambazo ni imara sana.
Je unataka kufungua ofisi yako ikuingizie kipato? Au...
Habari ndugu zangu...kam mjuavyo mtu ni afya na afya haiji bila kula...
Karibuni niwauzie sembe yenye ubora kwa jumla na rejareja
25kg-25500 (jumla),26000 rejareja
10KG-11000(jumla).
5kG-5500...