Msaada: Wapi nitapata dawa aina ya Kirkland/Minoxidil/Rogaine hapa Tanzania?

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
745
357
Habari wadau, naomba msaada anayejua sehemu inapouzwa hiyo dawa hapa Tanzania.
5%Minoxidili, Kirkland au Rogaine, yote ni majina yake.
Nimeshazunguka kwenye pharmacy mbalimbali nimeikosa.
 
Ilikuwa inapatikana S H Amon lakini bei ni kubwa order on line ni cheap kama una visa au Mastercard ATM card
 
Habari wadau, naomba msaada anayejua sehemu inapouzwa hiyo dawa hapa Tanzania.
5%Minoxidili, Kirkland au Rogaine, yote ni majina yake.
Nimeshazunguka kwenye pharmacy mbalimbali nimeikosa.
Minoxidil zinapatikana kwa bei zifuatazo
Minoxidil ya maji - chupa 1 ni tshs 40,000
Minoxidil ya foam - chupa 1 ni tshs 50,000
Minoxidil ya wanawake - chupa 1 ni tshs 90,000 ni ya foam na ujazo wa chupa ni mara mbili ya za wanaume
Kwa mawasiliano
Simu 0786892070
 
Huyu muuzaji mwenye hiyo namba ni tapeli Anaitwa KAZI MOHAMED namba zake ni 0786892070, 0745540910, 0748304756 kuweni makini
 
Back
Top Bottom