Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viwanja vinauzwa viko Mbezi Makabe Njia Panda . Ukubwa Ni "20-20" bei Sh mil.10. Vimepimwa kisasa. Umeme upo karibu mno. Wasiliana Na mwenye no: 0714486466.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wanaJF kinauzwa ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza viwanja vilivyopimwa viko kigamboni mbele ya kimbiji sehemu inaitwa yaleyale puna..tunauza kwa sq meter... sqm1 ni sh 9000 tunakupatia na hati yako..viwanja viko karibu kabisa na bahari in...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Two surveyed plots with title deeds (1) 5,115 sqm (2) 9,199 sqm. Good access road off the Dar es Salaam-Mtwara Highway. No middlemen required. Only interested buyers should in-box me.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Umbali wa Mita 300 kutoka Barabara Kuu( Bagamoyo Road) Kiwanja Kimepimwa na kina hati. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1200 Bei ni Tshs Milioni 250 Tuwasiliane: 0713226191 au...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ipo mtaaa wa muhoro na jangwani bei ni maelewano document zote zipo mwenye interest please ni inbox ili tuweze kufanya mawasiliano
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiwanja kipo barabara ya Mwanza karibu na mizani. Bei ni 3.5ml kwa eka ila inaongeleka. Wasiliana nae 0752959836
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kiko Mbezi Msakuzi. Ukubwa Ni "17-20" bei Sh mil. 7. Karibu Sana. Umeme upo karibu mno. Wasiliana Na mwenye no: 0719031549. Bei inaweza kupungua kidogo. Gari inafika hadi getini...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Kuna square meter 955 na 1200 na 2000 na 3000 na 4990 kila square meter moja ni tsh 14,000 tu. Pia kuna square meter 803 kwa tsh 17,000. Eneo ni Katikati ya Mwongozo nyuma ya utumishi housing na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Nahitaji kilichopimwa, kiwe Nkuhungu, Kisasa ama irazo au sehem yoyote za jirani na zenye makazi sio viwanja vipya.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukubwa wa kiwanja ni 700Mita za Mraba. Kiwanja kipo eneo la Makazi, hakijapimwa, unaruhusiwa kuleta Mtafiti wa ardhi kukiangalia kimekaaje. Kiwanja kipo eneo zuri, barabara ni nzuri hadi kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauza kiwanja changu maeneo ya lugwadu chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei maelewano hakijapimwa kwa anaehitaji anichek kwenye namba hizi 0688246998, 0675953263
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya. Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja Dodoma mjini. Kisasa, Nkuhungu au Ilazo. Kinahitajika, taja bei na eneo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja flat 20m X 40m kinauzwa 7m Kipo kivule Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za leo? Kuna viwanja viwili vyenye ukubwa wa futi 50X80,umbali ni kama dakika 25 kutembea kwa mguu toka kituo cha daladala Pongwe,dakika 8 kwa bodaboda(malipo ni elfu moja) Mnunuzi...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Viwanja vinauzwa,kimoja changu kiko vikindu 50ft kwa 100ft bei m5,na kingine cha rafiki yangu kiko vianzi 20m kwa 30m bei 4m kwa atakayehitaji 0654879476 thaman ya ardhi inapanda kila siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 30m*27m (sqm 810). Bei 1.8 ml. 0753101293
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Eneo lililopimwa lenye ukubwa wa 6acres lililo kandokando ya barabara ya lami (morogoro road) linauzwa.. Sehemu eneo lilipo: Kiluvya. Bei: Tsh 600milion. Contact: 0689315582
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna viwanja kinauzwa maeneo ya mbezi Luis DAR Cha kwanza ni 30*30 milioni 22 kimepimwa na kina ati miliki Cha pili ni 25*30 milioni 17 kimepimwa na kina ati miliki Cha tatu ni 20*22 milioni 7...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom