K Komukaga Member Mar 2, 2016 6 2 Mar 21, 2016 #1 Viwanja vinauzwa kibaha,chanika,bagamoyo,kiluvya wahi mapema anayetaka anicheki
ZIRO JF-Expert Member Nov 10, 2014 896 658 Mar 21, 2016 #2 Komukaga said: Viwanja vinauzwa kibaha,chanika,bagamoyo,kiluvya wahi mapema anayetaka anicheki Click to expand... Kiluvya sq m unauzaje mkuu
Komukaga said: Viwanja vinauzwa kibaha,chanika,bagamoyo,kiluvya wahi mapema anayetaka anicheki Click to expand... Kiluvya sq m unauzaje mkuu
Hafidhibrahim Senior Member Nov 4, 2014 142 32 Mar 21, 2016 #5 Toa maelezo zaid mkuu. Ukubwa wa kiwanja bei pia ikiwepo na mawasiliano ndg
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 10,474 9,596 Mar 22, 2016 #6 Hivi nyie wauzaji wa viwanja walio makini hamuwaoni humu? Hapa hamuoni kabisa kwamba mnaenda kupigwa. Post yenyewe ameitia kiujanjaujanjaa
Hivi nyie wauzaji wa viwanja walio makini hamuwaoni humu? Hapa hamuoni kabisa kwamba mnaenda kupigwa. Post yenyewe ameitia kiujanjaujanjaa