Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Uwanja wa Ndege, Dsm

Nelson Kapaya

Member
Aug 7, 2014
99
15
Kipo nyuma ya uwanja wa airport si mbali sana toka uwanjan. Kina urefu wa 21x19m na upana wa 15.5x11.1m. 2.5ml 0753101293
 
mkuu unatakiwa urudi shule maana wanamasoko wakipita hapa watakushitaki
 
Kipoa mwanza na kinaumbo LA trapeza ndomaana nikaonyesha vipimo vyote ndugu
Aisee mwanza kweli bado maisha Rahisi,vipi maeneo yale uwanja hautanuliwi mpaka kufika kwenye kiwanja chako?
Isije kuwa kama pale Dar ambapoa watu miaka teleee wanaishi kumbe wamo ndani ya uwanja,hahahaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom