Plot4Sale Nauza kiwanja (surveyed and clean title-deed)

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,430
4,921
kiwanja halali kabisa sqm 1700 kipo chanika buyuni,maji,umeme, barabara uhakika
makutano ya njia mbili,jirani tayari ameshajenga ukuta,Kipo karibu na PSPF project , 0.8 km kutoka kwenye barabara ya lami.
bei: 35 millions
only for serious buyer tuwasiliane PM
IMG_20150724_182036.jpg
 
Bei kubwa mno na mno hiyo
hebu niambie ni wapi dsm hii utapata kiwanja cha ukubwa huu na chenye title deed kwa bei hii?
bei ni ya kawaida sana kwa kiwanja kama hiki chenye nyaraka halili,hiki sio kiwanja cha kwenda serikali za mtaa au kwa mjumbe.
unaenda mwenyewe wizarani kufanya searching wanakuthibitishia hapo hapo.
 
Hiyo Bei ni sahihi kabisa. Jirani yangu naye kauza 1056Sqmtr kwa Bei ya 28M. Hivyo ni sahihi kwa hiyo Bei wAla usishushe kama huna shida inayokukabili kwa sasa.

Hiyo sehem anayosema tayar imechangamka sana. Umeme na Miundo mbinu mizuri ya Barabara, pia PSPF wamejenga nyumba za Mradi zaidi ya 400. Nyumba ya Bei ya Chini zimeuzwa kuanzia 64M. Zipo hadi za 100M.
 
Kwanin unasema hivyo ?
tena kama mjanja uza sasa,,mwakani hupati hata nusu yake,,,time will tell mark this thred
mashirika mengi miradi yao hewa majengo yasikuzibue
mkuu mbona nyumba za mradi pspf karibia zimenunuliwa zote! nadhani ikifika mwakani bei itapanda pia mark this thread
niliuza mwaka jana sqm 900 TUANGOMA kwa 30 Million near nssf project,hii sqm 1700 itakuwa zaidi muda ukisonga
 
mkuu unafananisha chanika na tuangoma huo utani ni sawa na vitz na prado.
 
Unauza shamba au kiwanja? Ukipunguza hadi 20M nitafute mkuu - pesa imekuwa ngumu kapata sasa
 
Kwanin unasema hivyo ?
Magufulification inafanya kazi... jipe muda tu, watu bado wana vichenchi vya ufisadi! mpaka august mwaka huu tutaona mengi, kama una hela itunze hizi bei za ardhi zitarudi kwenye uhalisia tu
 
Unauza shamba au kiwanja? Ukipunguza hadi 20M nitafute mkuu - pesa imekuwa ngumu kapata sasa
mkuu hayo maviazi nilishayatoa ,walipanda hawa wazaramo waliokuwa wananiangalizia viwanja vyangu.
mkuu kwa bei hiyo niliyotaja ndio market price ya viwanja halali
 
Mradi wa NSSF wa chanika ni zaidi ya Km 1 kutoka barabara ya Lami (Kama Lami unayosemea ni ya inayoenda Chanika). Bei nafikiri ni reasonable. Maana ni kama unauza 20,500 kwa sqm.
 
Magufulification inafanya kazi... jipe muda tu, watu bado wana vichenchi vya ufisadi! mpaka august mwaka huu tutaona mengi, kama una hela itunze hizi bei za ardhi zitarudi kwenye uhalisia tu
Unachoongea mkuu ni sahihi kabisa. Hata hawa wanaolipuka na kodi zao za nyumba, muda si mrefu watashusha wenyewe tu. Pesa ikiwa adimu kila mtu atatia akili tu na kuuza vitu kwa bei realistic. Pesa za kifisadi zilipaisha maisha yakawa juu mno. Kwa sasa heshima itarudi, nakubaliana na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom