Salaam wana Jamii Forums
Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga
Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni
Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master
iwe ndani ya uzio
Kuwepo na...
Beautiful plot Goba TegetaA near Kazimoto street. 35/30 Price 13m. Everything available water, electricity. Viko kwenye mchakato wa kupimwa. 0767507487
Njia safi mpaka kwenye uwanja.
LG LED TV INCH 43 USED
Nakuletea mpaka ulipo
Kwa gharama ya tsh 490,000 tu
Mzigo ni full hd 1080
Ina usb, hdmi, av, optical audio
Nichek 0744680670
Na ukutani nakufungia buree
WARRANTY MIEZI 6
SHAMBA LENYE MIKOROSHO YA KISASA INAYOZAA VIZURI LINAUZWA.
ENEO SHAMBA LILIP0: Mkoa wa Lindi, kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami inayoenda Mtwara.
UKUBWA WA SHAMBA: Ekari 30
IDADI YA MITI...
Nauza computer Acer na Hp all in one zipo katika hali nzuri sana.
Acer specifications Ram 8gb, Hdd465
seriously buyer contact 0712652110
Dar Majohe
Price 450000 neg
Kwa mahitaji ya mabati Bora na imara ya rangi kwa Bei nafuu wasiliana na quality mabati[emoji536] wanaopatikana tabata dar es salaam kwa maelezo zaidi piga simu namba 0672087564/0693785860 karibu...
Tuna chain ya bidhaa mbalimbali za computer internal na external zote zinapatikana kama RAM, SSD, HDD, Externals, Display(PC/computer), Batteries, Antivirus, Programs na peripheral device aina...
Wakuu natafuta chenga za mchele kwa bei nafuu kilo sh500 na kwa debe ni sh 10000 na gunia lenye debe 6 ndani kwa sh 60000, uwe Gairo au Moro itapendeza, hii ni kurahisisha usafiri.
.
"NYUMBA ZINAUZWA TABATA KINYEREZI STAND MPYA"
Location: Kinyerezi Mwisho Stand Mpya
Area: SQM 2665
Umiliki: Sale Agreement
Bei: 250 Milioni
Contact: 0754 618 903/0692177791 Both Whatsapp And...
"NYUMBA ZINAUZWA TABATA KINYEREZI STAND MPYA"
Location: Kinyerezi Mwisho Stand Mpya
Area: SQM 2665
Umiliki: Sale Agreement
Bei: 250 Milioni
Contact: 0754 618 903/0692177791 Both Whatsapp And Calls...
Wapendwa naomba kuuliza jambo... mzazi wangu amepewa zawadi ya seti mpya ya masofa na fenicha nyingine kama zawadi ya kustaafu...hana pa kuiweka seti ya zamani....kuna mtu humu anaweza fahamu...
Viwanja ni vikubwa 20*20
Bei kuanzia milion 1
Unapata kiwanja safi kabisaa
0715035758/0689244658
Karibu tukuhudumie
Mahali viwanja vilipo kuna usafiri wa bajaji 500 tu kutoka barabara ya lami.
Elimusoft inakuletea OFA ya kufungia mwaka
Tunatoa huduma ya SCHOOL & COLLEGE MANAGEMENT SYSTEM free kwa mwaka 2022 shule na vyuo katika ngazi zote
Mfumo una features zaidi ya 40, baadhi yake...
Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba.
Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na...
Pagala linauzwa Kibaha Kwa Mathias,
Nyumba ina;
Vyumba 3 (kimoja master)
Sebule kubwa
Jiko
Stoo
Public toilet
Umeme uko pembeni ya kiwanja
Maji Yako jirani
Kutoka kituoni nauli ya boda ni...
Company: Semark Container Shop
Location: Kurasini zilipo ofisi za Uhamiaji
Price: 40feet range from 8 milion to 10
20feet from 5 Milion to 6 Milion Tsh.
Bei zinatofautia kulingana na Ubora /grade...
Viwanja vimepimwa na mradi wa kurasimisha ardhi eneo la viwanja lipo kisongo matevez -Arusha
Ukubwa wa viwanja unaanzia 20×20 na 20×27 na kuenedelea kulingana na mahitaji ya mteja .BIE YA OFA NI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.