Mkuu si unaiyona pale inatumika😆Used au mpya
Hata mpya pia huwa zinatestiwa kwa hiyo nazo tuite zimetumika?Mkuu si unaiyona pale inatumika😆
duh kweli, hapa km ni moja tumeibiwa mm nilijua zipo nyingi na yeye ni msambaji.Mbona yenyewe inajiita TCL?