Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba imeishia usawa wa lenta, Ni ya vyumba 2 kimoja self, sebule kubwa na pia ina choo cha Public inauzwa kiasi cha Mil 9.5. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 20×20. Pia shimo la karo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima Kwenu Wakuu Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za weekend Wana body. Maelezo : Toyota passo Cc 990 Piston 3 New tyres Full ac Well maintained Haina changamoto yeyote Price : 4.8m MAWASILIANO: 0785 857564 Wahi chap
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wadau. Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu. Aina; Boxer 125. Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake. Location; Kipawa Dar. Hali yake; Nzuri...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu ninauza , Nilitaka kuanza project Ila imeshindikana . Overlock machine -laki tisa Sewing machine - laki nane Button lock machine - million mbili Button machine - million...
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Manufacturer: TOYOTA Model: IST Year - 2002 Engine Size: CC 1490 Mileage: 154991 Transmission: Automatic Colour: Grey Fuel: Petrol PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 ) MAWASILIANO ...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje..... Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
INAUZWA NYUMBA IPO GOBA SHELI YA ENGINE KUTOKA BARABARA YA GOBA ADI KWENYE NYUMBA MITA150[emoji118] _____ MILIONI 160 MAONGEZI [emoji118] ________×________________ &SPECIFICATION ZAKE[emoji116]&...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Asalaam alaikum, Napenda kuwatangazia kua nina nyumba nauza kigamboni mikwambe yenye sifa zifuatazo . Nyumba ipo kigamboni Mikwambe . Nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami ya kigamboni ...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
6K Views
kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wakuu husika mada tajwa hapo juu , kwa ramani bora za nyumba zenye kukizi haya ya mtanzania pia tunajenga na kufanya finishing tupo makini na hii kazi kwa mawasiliano piga 0688802481
2 Reactions
5 Replies
643 Views
Tunauza mbao kwa bei za jumla 2*4 fut 12=4400 2*4treated fut 12=4800 1*6 fut 12 = 4400 1*8 fut 12= 8500 1*8 ya fisherboard=9500 1*10=13500 1*10 ya fisherboard= 15000 2*2treated fut 12=2500 2*2 fut...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja. Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure! Tunapatikana...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Habari za jioni wakuu? Jamani naomba kujua bei za Mashine ya kukoboa na Kusaga zinazotumia Diesel, nitashukuru kama mtanisaidia. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
89 Replies
48K Views
Uzi mfupi tu. Natafuta bodi la gari aina ya Toyota haisi superoof (dungu). Likiwa halina gearbox, injini wala diffu itapendeza zaidi. Kikubwa liwe halijakatika chasis/chasesi (vyovyote vile)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari? Nauza PS4 haina shida yoyote ipo na console 1 bei laki 6 tu. Location kimara mwisho Mawasiliano 0688284736
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…