Asilimia kubwa ya nyumba zinazojengwa Sasa hivi zinapambwa kwa bidhaa za gypsum kwa namna mbalimbali, kwa wauzaji wa vifaa vya ujenzi(wenye hardware) karibuni kupata bidhaa za mikanda, Kona, Maua...
Ni fundi urembo wa
urembo wa Dirisha
Urembo wa nguzo
Urembo wa fensi
Urembo wa kona au pembe za nyumba! Pamoja na urembo wa fensi
Nipo Temeke DSM na popote Tz nakufikia
Simu : 0789005562
Wasap...
Baiskel nzuri kal inauzwa bein saw na bure. Ina gear 6. break . Kiti kipya cha kukalia. Kiti imala cha kubebea mizigo. Haina kiungo chochote wal kuchuka rang.
Pia nabadilishan na sport bike hata...
chumba na seble ni vzuri sana
gypsum board na tiles
rangi mpya
choo kizuri
madirisha mawil mawili seblen na chumbani
kina kodi ya miezi minne,alioko ndani ameamishwa kikazi anahama
unatembe dk 4...
Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;-
✓ Wapangaji na wenye nyumba.
✓ Wauzaji na wanunuzi.
✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo...
Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu.
Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia...
Nauza Tv yangu aina ya Sony inchi 32 ila inaonesha black and white. Fundi aliniambia mpaka nibadilishe kioo kwahiyo atakaejunua atatakiwa abadilishe kioo. Bei nauza ni 100,000. Kwa mawasiliani...
-32 inch kawaida....................... 300,000
-32 inch smart 4k android.........355,000
-40 inch kawaida........................575,000
-40 inch smart 4k android........650,000
-43 inch smart 4k...
Habari wana jamii
Mimi ni fundi wa furniture natafuta mtu ambaye tunaweza fanya uwekezaji kwenye upande wa samani za ndani kwa mkoa wa Mwanza ama Mbeya.
Mimi ni fundi ninayefanya kazi za kiwango...
Kupangilia nyumba (hoteli, benki, loji, resoti, shule, chuo, majengo ya biashara na kadhalika) ni moja ya biashara zinazolipa kiasi kikubwa cha faida katika miji mikubwa.
Kupamba nyumba ni moja...
Je wajua kuogelea kunaboresha afya na ni ujuzi mzuri maishani pia ni burudani.
Karibu umwandikishe mwanao kwenye darasa la kuogelea likizo fupi ya pasaka darasa la siku 8
Certificates zitatolewa...
Make: Mazda
Model: Verisa
Model number :DBA-DC5W
Body type:station wagon
Colour:Grey
Year:2004
engine capacity:1490
Fuel used:petrol
Seating capacity:5
Km:49000
Bei m 90000000
Milioni Tisa tu
Nahitaji kununua kiwanja Dom.
Kisizidi 400 sqm
Umbali sio zaidi ya km 3.5 toka mjini
Kiwe na Hati na kimepimwa
Kiwe pembezoni mwa bara bara kuu ya lami yenye movement ya watu na magari.
Hello Jf
Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248
limepimwa tayari beacon zipo
Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi
Halina tatizo lolote.
Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA...
Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri...