Camera iko katika hali Nzuri, imetumiaka wiki mbili tu kwenye Project.
Niliagiza kwa ajili ya project, now nimemaliza.
Ni camera nzuri sana hasa kwa Advanced Cinematographers & Photographers...
Kuna jamaa aliweka tangazo kuwa anauza kiwanja maeneo ya banana sijajua ni nani kama.hajauza aje tuyajenge lakini pia nahitaji uwanja maeneo hayo hela iko mfuko wa shati
We design awesome websites or any project that runs via browsers, these projects includes information management systems for small to large businesses (Depending on your instructions).
But also...
Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi.
Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu!
cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist
Asanteni.
4G SOLAR PTZ CAMERA
Available, built in Simcard slot, mobile view access, no need of electricity or wifi/ internet
Free delivery
Condition: New
Location: Kinondoni Studio
Price: 495,000/=...
Salamu Jf family
Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa...
Wakuu Habari za Jioni.
Ninahitaji solar water pump ya kuvuta maji kisimani. Kisima kina urefu wa mita 15
Eneo la shamba ni ekari moja Liko Kilimanjaro.
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana...
Habari;
Leo nimeona niwashirikishe watu fursa,Wakati nikielezea hii FURSA niweke angalizo kwamba "UKIITIWA FURSA UJUE WEWE NI FURSA" so kama hutaki kuwa fursa basi wewe hii fursa haitakufaa.Baada...
Je, wewe ni mwanafunzi uliyemaliza kidato cha nne?
Je, una ndoto siku moja uje kusoma nje ya nchi
Kama jibu ni ndiyo. Nakutangazia nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wanaojifadhili...
BEI Tsh : 120,000/= (HII BEI NI YA OFFER)
OFFER: -Free Letter head
Huduma zetu utazipata mahali popote ulipo iwe ndani au Nje ya Tanzania!
HIZI NI BAADHI YA KAZI TULIZOWAFANYIA WATEJA WETU...
Tunatoa huduma ya kutotolesha (kuatamisha) mayai ya kuku, kanga, bata
Bei:
Sh 500 mayai ya kuku
Sh 700 mayai ya kanga na bata
Tupo Lugela, Kahama
0767659145
0620246040
0787659145
Ina Internal storage 128
RAm 8
Betry 10,000MAH
Inasoma 4G laini zote mbili na IPO speed sana kufungua files
N.B
Inakaa na chaji 5hrs ukiwa kwenye internet.
Bei 350,000/= Ni Pm ukiwa unaihitaji.
Asante
Wakuu habari.
Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma.
Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru.
Naomba connection
Natengeneza Matangazo Ya Biashara Ya Kupost Insta, Facebook ,Whatsapp
UNAUZA NINI?
Nicheck nikudizainie TANGAZO zuri utakalolipost Instagram, Facebook, Whatsap, Magrupu, Status n.k
Bei rahis tu...