Tunauza Submeter kwajili ya wapangaji rejareja na jumla kwa bei ya shilling 15,000 kuanzia submiter mbili kwendelea pia mkoani
tunapatikana Dar Es salama, Karikoo, Tanzania.
Tunatuma...
Karibu kwenye uzi huu unaoonesha baadhi ya bidhaa ninazoziuza kupitia (online marketing)... Waweza kupitia page yangu ya Instagram kama una muda @flameinteriors.
π πΌππΎπππΌπ²π π‘π²π
Hapa utajipatia net...
Nina jengo linalofaa kwa kuanzisha shule ya nursery na learning centre.
Nina hitaji partner mzoefu katika hii biashara na pia aqw tayari ku contribute mtaji na kuusimamia.
Jengo lipo kajiungeni...
Offer kabambe: pata saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!
Hizi saa thamani yake kwa kawaida
ni over 200K TZs.
Lakini nimeamua kutoa unbeatable offer, hivyo utapata kwa 100,000 TU! Unapata saa zote...
New Professional Microphone
For recording
Podcasts
YouTube videos
Video call & video conferencing
Etc.
Delivery : from Dar es salaam to all regions
Offer: 99,000/-
Call: + 255 658 700 510
Viatu vizuri vyenye quality nzuri.
Bei na size zipo kwenye kila kiatu
Tunapatikana Kimara Temboni
Delivery ipo kwa Dar na mikoani tunatuma kwa uaminifu.
[emoji3513]Call/WhatsApp 0655 111170
GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA
Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini
Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina...
Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi.
Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe...
Wana JF ninataka kujau zaidi kuhusu hii biashara kwa wanaofanya hii biashara
Vipi inahitaji kama mtaji wa sh ngapi kuanzia?
Maeneo mazuri kwa Dar es salaam ni wapi?
Changamoto zake kubwa ni zipi...
Nauza Laptop za Mtumba Bei Nzuri
Bei zinaanzia 375,000/=
Tunapatkana Kahama na Mwanza Wateja wa Mikoa ya Jiran tunakutumia kwa uaminifu mkubwa.
Nichek wasap kwa picha zaidi
0627953664
Habari wakuu, low bed tri-axels trailer inauzwa ikiwa na hali ya upya kwani haijatumika sana.
Make: CIMC
Type: Low bed trailer
Location: Dar es salaam
Bei: 80M
NB: Hii ni tairi ndogo.
Ukitaka...
Habari ni ile kampuni yako pendwa kwa jina la Gasto Agent Cargo, tunasafirisha Mizigo mbali mbali kwenda maeneo tajwa hapo juu kwa gharama nafuu.
Mzigo wowote, mkubwa kwa mdogo,kuanzia mmoja na...