Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

-LED TV inch 32 (ouling brand) -Imetumika miezi miwili -box,remote,stand vipo -Ipo ubungo riverside -bei 250,000 Tsh -contact 0712518770
0 Reactions
0 Replies
501 Views
TANGAZO ! Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Tuna tengeneza Milk Vending Machine (Milk ATM). Kwanzia ujazo wa lita 50,100,150, 200 hadi Lita 600 ya maziwa fresh yaliyo chemshwa pamoja na ya mtindi na yoghurt ,kwa bei nafuu sana...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu natafuta Power Bank Orginal ambayo naweza kuchaji simu hata mara tatu kwa asilimia 100.
4 Reactions
58 Replies
5K Views
TANGULIZA 9MILLION PEKEE KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN 1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE. 2.UTANGULIZI WA...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau, natafuta iyo gari, iwe Mwanza au Arusha, DSM, popote pale nitaifata, ofa yangu itategemea na quality ya gari
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitoa hii Bmw 3 series Usajili n DXH Cc 1990 Km 56000 Mwaka 2009. Fuel petrol PRICE 13.5 CALL;0673-364751
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Ni jioni nyingine nzuri ya kuwakumbusha kuwa nawaagizia watu vitu kutoka china kwa bei nafuu kabisa. Life without music is boring, Njoo tukuagizie lg home theatre au sony soundbar system kwa Tsh...
2 Reactions
3 Replies
661 Views
Nauza Toyota IST from Japan Mwaka 2005 Km. 89000 Engine;. 1290 Price 12M Ninazo gari tatu zote Kwa bei hyo for more picture call/WhatsApp 0673-364751
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za muda huu Nashida na makava ya simba na yanga kwa anaejua machimbo yanapo patikana anisaidie nipo Tunduma 0627380556
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Eneo: Kiluvya Madukani Km 02 toka barabara kuu Ukubwa: 600sqm Bei : 6m
1 Reactions
2 Replies
933 Views
Hello Nina hiyo PC yangu imekufa betri,naomba kujua wapi nawezapata hiyo betri na bei ikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
704 Views
MWITO KWA WATAALAMU WA FASIHI Mchapishaji mashuhuri wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania, APE Network, ana Mpango wa kutangaza na kuhifadhi kazi bora za fasihi ya Kiswahili kwa kuchapisha...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
Mabibi na mabwana, nina nazi nauza ndugu zangu, kwa oda zimebaki chache, aseme mtu alipo nitamletea, Wahi kabla hazijaisha, ila hizi zikiisha naweza pia kukuchukulia kwenye mashamba ya jirani kwa...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Asus ZenBook UX431 500GB SSD Intel® Core™ i5 8th generation CPU NVIDIA GeForce MX150 8GB RAM Built-in 4-way stereo speakers(Harman/Kardon premium) 9hrs Battery life HDMI port Asking Price: 1.3...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuna Uza na kupokea Order za korosho 1. Kilo moja Tshs 20,000/= 2. Nusu Tshs 10,000/= Tunafanya Delivery popote Duniani kwa gharama ya mteja. Korosho zetu ni mpya na "Fresh" Karibuni sana...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…