Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Uliza swali lolote linalohusiana na Kampuni za kukusanya madeni( debt recovery agencies) Nyakisasa Empire watajitahidi kuwajibu kwa kadri ya uwezo wao. Karibuni
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Nahitaji msaada wenu. Canon 2425 yenye error code 0000733000 nahitaji kuitengeneza. Kama wew ni fundi tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Kampuni ya uhakika ya kukusanya madeni. ︎Madeni ya kawaida ︎ Madeni Sugu ︎ Madeni ya kimahusiano ︎ madeni ya kirafiki ︎ Utapeli Nyakisasa Empire kwa huduma bora
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Lipa namba ipo kwaajili ya kumpa Nafuu Mfanyabiashara, Mteja akija kwako analipa Gharama ndogo lakini pia ww ukienda kutoa pesa unatoa Gharama ndogo na kama pesa ipo chini ya laki tano unayotoa...
7 Reactions
32 Replies
15K Views
Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Two controler 3 games Tsh350000 Ukiitaj nchek 0653557633
2 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wasiliana na 0714680247. Bei maelewano. Iko Dar es salaam.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam.. Nauza mashine ya kukoboa mpunga model SB 10D yenye uwezo wa kukoboa kilo 700 had 900 kwa saa. Power yake ni 15HP Mpya kwenye box lake Bei kuanzia million 2.7 maongezi yapo Contact...
3 Reactions
38 Replies
16K Views
Habari Wakuu Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87. Aina ni Bosch 0280218075 AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87 Bei ni laki 3 ingawa...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
[emoji91][emoji95] usalama kwanzaa[emoji95][emoji91] - Je unaishi na mtungi wa gas ya kupikia ndani? [emoji52] Si salama KARIBU TUKUFUNGIE system yenye uhakika wa usalama wako wewe na familia, Pia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa uhitaji wa mashine za mbao kuchana, kukereza, spindle nk wasiliana nasi 0689 859167
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Am selling my playstation 4 it was bought in January 2017, not used in Tanzania just arrived 4days ago. Price ; 850,000 TSH / 380 usd just send me msg inbox then we can communicate more...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa utakutana na magari ya aina tofauti tofauti na bei ya kipindi cha Magufuli. Magari kuanzia namba A mpaka D za mwishoni Utapata chassis kutoka Japan na ukihitaji kutoka Zanzibar utapata pia...
13 Reactions
213 Replies
28K Views
Habari zenu wakuu. Kama title ilivyojieleza hapo juu, kama kuna mtu anauza ps3 au ps4 used naomba tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wana jf husika na kichwa cha habari juu, nauza nyumba chanika, njiapanda ya nyeburu upande wa mkono wa kulia ukitokea ngongolamboto, ipo jirani na shule ya DOCTOR ELIMU, ina vyumba viwili...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…