Jamani hii attachment inaonyesha bei elekezi za viwanja sehemu mbali mbali za Tanzania. Kwa hiyo wale waliozoea kuuza viwanja kwa bei wanazozijua wao, nadhani huu utakuwa muarobaini wao.
Naona ni...
Habari wana if
Nauza simu yangu
infinixy hot 9 PLAY aina tatizo lolote
Ni:
2ram
32Gb
4g
Line 2
Camera ni 8 mbele nyuma 13
Uwezo wa better ni 6000MAH
Simu ni yangu mwenyewe naiuza
195,000...
Wana jf habari nauza subwoofer yangu spika 3 aina tatizo lolote
Inatumia kila kitu bei ni 95,000
Makubaliano yapo
Pia nauza simu yangu infinx hot 11
Gb 128
Ram 4 ina uwezo wa kuongeza...
Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia,
au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika?
Kwanini upigwe kwa bei...
Hello Mambo vipi, nauza saluni ya kike ina kila kifaa cha kuanzia tena bado vipya kbs pamoja na baadhi ya mafuta na dawa za aina tofauti tofauti.
Drayer, Handdrayer,Steamer, Vioo, Pasi na...
Habari wakuu kuna Frem za biashara mtaa wa Masasi na Msimbazi jengo jipya zinapangishwa.
Gharama za frem ni Milioni 9 kwa mwaka pamoja na 500,000 ya udalali.
Frem hizi zinafaa kwa mtu mwenye...
Nauza kuku pia unampata tayari amenyonyolewa na akiwa na firigisi yake na maini.
1. Kuku broiler1@8,000
2. Kukukienyeji@23000
3. Kukumayai1@15,000
4. Firigisi 20@8,000/=
5. Drumstick1kg@9500...
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
Ni miaka sasa nimefanya kazi kwenye Taasisi(NGO) Kubwa isiyo ya kiserikali na kazi mbali mbali za kitafiti, sasa imenilazimu nije nitoe consultation kwa NGO ambazo ndio zimeanza na mpya kabisa...