Karibu tukuhudumie. Laptop zetu zote zina SSD storage, 8GB RAM. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana Machinga complex floor ya pili. Tupigie ama tutumie message whatsapp kupitia namba zetu 0753555055...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi.
Iwe Dar es Salaam.....
Call/Whatsapp: 0710535327
Kama wewe ni mfanyabiashara wa dagaa au samaki, upo Dar, mi niko Mwanza, natoa service ya kukutafutia na kukusafirishia kwa njia ya basi, my service charge ni Tzs 35,000.
Tairi ni kama ifuatavyo:
2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18
2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18
Rim size ni inchi 18.
Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi...
Habarini wakuu,
~Jiko la moto poa linauzwa, jiko hili hutumia gel ya ethanol, ni jiko zuri na rafiki kwa mazingira.
~Jiko Lina plate mbili, halijatumika, limekamilika vifaa.
~ Bei 50,000 tu.
~...
Attention
Huduma ya free Wi-Fi installation bado IPO kwaajiri ya matumizi ya ofisini au nyumbani kwa mtandao wenye super kasi WA vodacom. Huduma zikiwemo free antenna, free wireless router, free...
Hii PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE
Wakuu...
Jaman nimefungua Duka la simu sasa naitaji Ile midoli ya simu ambayo inakuwa ni kama simu sema uwez kuweka line tu
Inakuwa easy kumpa mteja aangalie the way simu anayoitaji ina specifications...