Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
0 Reactions
3 Replies
622 Views
Habari za sasa wana jf? niko mwanza natafuta bidhaa hio kwa bei nzuri. nipo mwanza Igoma namba: 0744 033 555
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CONTAINER 20ft FOR SALE Container for sale, ni 20ft jipya kabisa na limeshakatwa. Lipo Goba Njia nne Bei 4.8m 0679300893
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na...
1 Reactions
0 Replies
961 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How?!. Juzi kati katika kusheherekea Sikukuu ya Wapendanao...
4 Reactions
53 Replies
14K Views
Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo 1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania 2.Bei ya madini sokoni na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako. Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu...
2 Reactions
1 Replies
608 Views
Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700...
1 Reactions
0 Replies
903 Views
Habari za mchana wana jf, Naombeni kujuzwa bei ya mashamba kwa hekari, eneo lolote kati ya hayo!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu wana jf! Nauza bata aina ya Muscovy na Pekin, jumla wapo 31. Kati yao majike ni 16 na madume 15. Ni wazuri na wana maumbo makubwa. Majike wote wanataga. Wanafaa kwa vyote as...
1 Reactions
1 Replies
889 Views
Elfu 40 kwa 70 tupo ubungo mawasiliano.
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Wakuu habarini za majukumu! Natafuta mother board ya hii Tv panasonic tafadhali naombeni msaada kwa mwenye kujua wapi naweza ipata 0683965391
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo. Kimepimwa kwa hatua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi wakuu, Kuna nagari kemkem,yapo kwenye hali nzuri na kiwango... We niambie unataka gari gani na budget yako ni ngapi?Ntapost yaliyopo hapa Karibu Serious buyers only! Tiririka hapa Ama ujumbe PM
1 Reactions
163 Replies
13K Views
Wakuu habarini, Natafuta laptop used budget kama bando linavyojieleza mahari Moro town tafadhari nicheki Kwa namba hii 0692672194.
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Je,Una Bajeti ya Laki 350k na unahitaji Simu yenye Camera Nzuri inayokaa na Chaji?? Njoo nikuuzie Simu yangu TECNO CAMON 19, Bado Mpyaa kama unavyoiona [emoji117] 64MP camera, 5000mAH battery na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota Vitz New Model (DMZ)[emoji91][emoji91][emoji91] . YOM: 2005 Engine Capacity: 990cc Automatic Petrol Mileage: 95,000 Kms Color: Silver Haijarudiwa rangi popote Haijawahi kupata ajali . Bei...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Inaprint Black & Coloured, Photo papers, Other Glossy papers, Certificates, N.k. In a meant condition, Bei: 560,000/-, Ipo Bagamoyo mjini. Mawasiliano: 0786737923
2 Reactions
1 Replies
597 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…