Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi...
Habari wadau !!
Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala...
VIFAA VYA STATIONARY
Jipatie bidhaa za stationary kwa bei nafuu zaidi kwa bei ya jumla tupo kariakoo mtaa wa lindi karibu na msikiti wa lindi pia tunafunga ODA kwa watu wa mikoani kwa uaminifu...
Mfumo umefungwa kwa sasa
Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel
Nunua Bidhaa kupitia...
Wanajamii wenzangu habari zenu,
Ndugu yenu naombeni kufahamu mahali zinapatikana soksi za mtumba kwa jumla hapa Dodoma kwa yeyote anayefaha tafadhali naomba msaada wako.
Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea...
Habari ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Nipo mkoani Dodoma, nilisimamisha masomo yangu nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Nilikuwa nasomea Bachelor Degree of Adult Education and...
It's been long time.
Wakuu Kwema?
Baada ya miaka 3 ya machozi, jasho na damu (Life after Colleg) kijana wenu nimefanikiwa kusajili mechanical company inayoitwa Masuma Engineering.
Masuma...
Tunasuka na kuuza mashine za kuchomea vyuma (welding machine) za aina na uwezo tofauti.
Pia tunasuka na kuuza mshine za kuchaji betri ( battery charger) zenye uwezo wa kuchaji hadi battery 16...
Dundani ipo umbali mfupi kabla ya kufika Mkuranga Town ukiwa unatokea Mbagala.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 6.88 Kama inavyoonekana ktk sketch map hapo chini.
Liko umbali wa kilomita 1 kutoka...
Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili.
Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange
3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room.
3 Normal bedrooms.
Car garage (parking)
public toilet
kitchen
Siuting room & Dining room
Mabanda 7...
PhD and Postdoc Positions for Fall 2023 or Winter 2024.
The research project will utilize machine learning and data analytics for modelling methane emissions.
Qualifications:
Solid educational...