Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine.
Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za...
Wanajamii heshima kwenu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga self-contained Dar Es Salaam, yenye vyumba vitatu vya kulala na iliyo kwenye sehemu yenye utulivu na usalama. Kwa kuwa suala lenyewe ni...
Laptop mpya kutoka ujerumani hard disk za laptop na desktop na web cameras na USB vinauzwa
Specification ni kama ifuatavyo:
LAPTOP-2
80 gb,window xp..dvd brunner.pentium M.. 39.6 cm , .jina ni...
Laptop mpya kutoka ujerumani hard disk za laptop na desktop na web cameras na USB vinauzwa
Specification ni kama ifuatavyo:
LAPTOP-2
80 gb,window xp..dvd brenner.pentium M.. 39.6 cm , .jina ni...
PROJECTORS AINA YA CLEARCO ZINAPATIKANA TOKA UK.
TAA ZAKE NI MASAA ELFU NANE(8000).KWAHIYO UNAWEZA KUNUNUA PROJECTOR TAYARI INA GROPE/BULB YENYEMASAA 8000(8000HRS) NA KUNUNUA GROPE/BULB PEKEE YA...
Juliana, dada wa kitanzania alifariki dunia usiku wa tar 31 Dec huko Oman.
Juliana ambae alikuwa akiishi Upanga amekuwa akiruka kama mfanyakazi wa ndege wa ndani wa kampuni ya atcl kabla ya...
I am selling a brand new minilaptop for 500,000 Tshs, (negotiable for interested buyers) For the specifications and more information please visit http://mobitech-wim.blogspot.com/ You can reach me...
Ifuatayo ni taarifa ya kutoka Ubalozini kwa Watanzania waishio Canada..........................................
Kwa niaba ya Mheshimiwa Balozi Peter Kallaghe, naomba kuchukua fursa
hii...
Toyota Premio,model 2000, 7A Engine, imetembea japan km 92,000, cc 1800,bei million 8, imelipiwa ushuru na kusajiliwa, haijatembea hapa nyumbani toka imefika hipo showroom.nitwangie namba...
Wana jamii Salaam,
Naomba kama kuna mwanajamii anatumia TTCL Mobile BroadBand ama ana habari juu ya huduma hii katika mji wa Kilosa huko morogoro anijuze juu ya ufanisi wake.
Natnguliza...
Jamani ninashughulika na uuzaji wa lab reagents,hospital equipments ,chemicals ,consumables and surgical equipments.
delivery ni mpaka kwa site yoyote within Tanzania
Guys and gals,
I offer the following services for those in the advertising industry, those with businesses or those in need of writing services.
Copywriting- coming up with attractive copy for...
For all geek talks, join me on ZANBYTES FORUM at the following URL http://forums.zanbytes.com/.This used to be Zanzibar Forum, but politics have been restricted on that Forums.May be there will be...
Jamani natafuta ushauri kuhusu injini ya aina ya 2LT ambayo ipo kwenye magari aina ya Toyota Prado. Injini hii nahisi haifai kwa mazingira ya joto au tropical climate kwani huwa haichelewi...
Magomeni hapajanichosha, ila kubadili mazingira si vibaya.
Natafuta kiwanja Mbezi Beach.
Gharama ya kiwanja 5 milioni TZsh, tunaweza kuzungumza vile vile.
Ukubwa wa kiwanja si ajenda kubwa...
Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro
kwa habari zaidi
nunua nipashe kesho
majeruhi wachache wako hospital