Basi la shabiy latumbukia korongo la mto ruaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la shabiy latumbukia korongo la mto ruaha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pdidy, Jan 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,301
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro
  kwa habari zaidi
  nunua nipashe kesho

  majeruhi wachache wako hospital
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,301
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Shabiby bus service
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,545
  Likes Received: 14,949
  Trophy Points: 280
  sasa ni tangazo au.kama nipo kijijini nitanunua wapi hio nipashe?
   
 4. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia.
  Nielewe lipi?
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,465
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Hope alikuwa hajui anachokiandika!!
   
Loading...